Sikujua kuwa Punyeto ni janga lililo kichini chini

Sikujua kuwa Punyeto ni janga lililo kichini chini

Sijakwambia usijamiiane nimekwambia ujamiiane Ila uridhike na unaejamiiana nae, ushanielewa
Hahaaha. Unajua we jamaa bana. Suala la kuridhika na unayejamiiana nae si ni lako? Nature haikulazimishi nani wa kujamiiana nae, hata fisi wanachaguana. We amua tu unataka kujamiiana na nani.
 
Hii kitu inanitafuna sana, ninanyuchi zaid ya moja but still naipiga hii kwa wiki ata mara 3 ad 4, sometimes nalala na nyuchi kabisa ila akiondoka napiga, dah uraibu mbaya. Nilijaribu kuacha zaid ya mara 50 lakin ikashindikana, nilianza rasmi 2008 ad jana usiku nimepiga. But ahueni sijawai kuface madhara yake
Wewe ni mtu mwongo sana kuwahi kutokea kwenye hii awamu ya 6. Kitu hakina madhara kinakutafunaje? Amua kuacha nyeto. Kama ulianza 2008 kimsingi madhara umeshakutana nayo sana zikiwemo aibu za uume kuwa legevu ukikutana na demu. Mpiganyeto anaweza asisimamishe akiwa na manzi ila manzi akiondoka anasimamisha na kupiga nyeto.
 
Tatizo mnawaza zaidi madeni na shida zilizokithiri kuliko kukoncetrate kwenye tendo.
 
Tatizo linaanza pale mtu anapochukua sheria mkononi, hujipimia kipenyo. Katika hali ya kawaida, kipenyo kingine kile huwa ni by default. Na ndio wakati mwingine katika kutafuta hicho kipenyo ndipo ufirauri unaingia
 
Jutahidi ule vizuri na kulipa madeni ngono hutegemea well being yako na sio madhara hasi ya punyeto.

Psychological watz wapo na maisha magumu they can't even Afford Three meals so mzigo unasukumwa kwa punyeto.
 
Back
Top Bottom