Siyo kutoridhika,kwa waliooa unakuta usiku ulirudi umechoka ukasema upumzike utapiga mashine asubuhi ile umekurupuka unakuta wife nae kawahi kuwandaa watoto shule.
Kwa wale wanaoamka na kuingia bathroom kama ulishawahi kufanya huo mchezo hutoki salama,(of course ni kama ajali tu hutokea kutegemea na mood siyo kila siku utapiga huwa inapita hata miezi mtu hajafanya hicho kitendo) ila vizuri vijana wajue kwamba punyeto ya kukamia ni mbaya sana ile kijana kujiwekea akilini kwamba kila siku lazima ajichue humletea madhara makubwa baadae.