MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ndugu andika uzi kuwasaidia vijana kuacha.Huwezi kuacha mpaka upate addiction ya kutopiga nyeto...
Ile masculine energy unayoifeel baada ya kutonyetuka angalau wiki 2 ndiyo itakutoa kwenye nyeto.
Cha kufanya, kama ni mpiga nyeto, jikaze usipige angalau wiki nzima. Utaona utofauti wa energy unayokuwa nayo, then from there hautaafikiana na nyeto kamwee..