Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Vigumu sana kumuelewesha Mtu asiyejua kitu na kashajiandaa kisaikolojia kubisha.Kiufupi hauna Jibu na jibu ni kwamba hakuna faida Mwanaume kulala na Mwanamke ambae haridhiki nae kingono, ni malazimisho ya Jamii tu society force you to do that unaoa/unaolewa si kwa sababu umeridhika na mtu huyo Ila tu unaficha aibu kwa Jamii na wewe uonekane kwamba una sehemu ya kufichia uzinzi wako
Bado haujanielewa nimekwambia hakuna faida kwa Mwanaume kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae kingono, elewa nilichokwambia alafu kumbuka hapa nazungumza MIMI SIO Mzee wangu it's me not himTwende taratibu tukitumia concept yako ya kutokuwepo kwa faida uliyoileta, tusihame.
Mzee wako alipokuwa kijana angesema kulala na mwanamke hakuna faida ahamie kwenye mafuta ingekuaje? Maana hii ndo hoja kuwa hakuna faida.
That means umekubariana na maelezo yangu niliyokupatia au umeishiwa cha kuchangia maana yake nimekupiga KOVigumu sana kumuelewesha Mtu asiyejua kitu na kashajiandaa kisaikolojia kubisha.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuridhika kingono unamaanisha nini? Maana ni kama una tafsiri yako ambayo haijajulikana bado. Unaposema kuridhika kingono unamaanisha nini?Kiufupi hauna Jibu na jibu ni kwamba hakuna faida Mwanaume kulala na Mwanamke ambae haridhiki nae kingono, ni malazimisho ya Jamii tu society force you to do that unaoa/unaolewa si kwa sababu umeridhika na mtu huyo Ila tu unaficha aibu kwa Jamii na wewe uonekane kwamba una sehemu ya kufichia uzinzi wako
Ok boss, sasa Ili uridhike kingono wewe ni nini kinatakiwa kikutokee tofauti na kukutana na mwanamke ukamwingilia ukapiga bao tamu?Bado haujanielewa nimekwambia hakuna faida kwa Mwanaume kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae kingono, elewa nilichokwambia alafu kumbuka hapa nazungumza MIMI SIO Mzee wangu it's me not him
Wewe ushawahi kufanya Ngono namaanisha ushawahi kuingiza UUME wako kwenye UKE wa Mwanamke au hujawahi? Kwanini unaingiza UUME wako kwenye UKE ili upate nini au ugundue nini?Kuridhika kingono unamaanisha nini? Maana ni kama una tafsiri yako ambayo haijajulikana bado. Unaposema kuridhika kingono unamaanisha nini?
ILi niridhike. Sasa kama tunakubaliana uume kuingia kwa mwanamke ndo kuridhika kingono faida unayosema haipo ni ipi?Wewe ushawahi kufanya Ngono namaanisha ushawahi kuingiza UUME wako kwenye UKE wa Mwanamke au hujawahi? Kwanini unaingiza UUME wako kwenye UKE ili upate nini au ugundue nini?
Nimekwambia Neno KURIDHIKA elewa Neno KURIDHIKA ndio maana nikakuuliza unapata faida gani kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae?Ok boss, sasa Ili uridhike kingono wewe ni nini kinatakiwa kikutokee tofauti na kukutana na mwanamke ukamwingilia ukapiga bao tamu?
Bado haujanielewaILi niridhike. Sasa kama tunakubaliana uume kuingia kwa mwanamke ndo kuridhika kingono faida unayosema haipo ni ipi?
Aisee.Nimekwambia Neno KURIDHIKA elewa Neno KURIDHIKA ndio maana nikakuuliza unapata faida gani kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae?
Kuridhika unamaanisha nini? Au unamaanisha kukaa na mwanamke mmoja tu usiende kwa mwingine? Kama ndo unachomaanisha ugumu wa kutoelewana unauleta mwenyewe boss.Bado haujanielewa
Sio kweli kutokuwa na uhakika wa k ndio kunachangia kupiga punyeto.Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto, Womanizers wenye mademu lukuki lakini bado nao ni hivyo hivyo.
Aisee achana na kitu kinaitwa addiction. Yani mtu yupo kwenye late 20s, 30s na 40s bado anaridhika akisugua dude lake na mikono yake mwenyewe.
Mimi sio expert wa afya au mpiga nyeto so sijui faida na hasara za kufanya mustarbation.
Hivi unajua kuna watu wanaishi kinyumba Ila hawaridhiki linapokuja suala la kufanya Ngono au haujui? Yaan anafanya tu basi aonekane amefanya Ila haridhiki hilo unalijua?Kuridhika unamaanisha nini? Au unamaanisha kukaa na mwanamke mmoja tu usiende kwa mwingine? Kama ndo unachomaanisha ugumu wa kutoelewana unauleta mwenyewe boss.
Huu ndio UONGO ambao wengi wanajidanganya Ila Mwisho wa siku wanarudi palepaleKuwa na wanawake kadhaa
Huwezi kuacha mpaka upate addiction ya kutopiga nyeto...Kabisa solution ni kuacha tu.
Ulitmia njia gani kujicontrol?
mustarbation ❌, masturbation ✅.... hiyo ni hasara mojawapo.Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto, Womanizers wenye mademu lukuki lakini bado nao ni hivyo hivyo.
Aisee achana na kitu kinaitwa addiction. Yani mtu yupo kwenye late 20s, 30s na 40s bado anaridhika akisugua dude lake na mikono yake mwenyewe.
Mimi sio expert wa afya au mpiga nyeto so sijui faida na hasara za kufanya mustarbation.
Bora nyuzi za nyeto kuliko za kuwasimanga single maza.Hizi threads kuna muda zinatulia halafu ghafla zinaanza kutrend tena.
Sasa mmewapumzisha single Maza upepo umehamia kwa punyeto..
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kujicontrol = hujaacha ila unafanya kwa tahadhari.Nyeto inakuondolea ile "MASCULINE ENERGY"..
Hata ile Masculine Euphoria inapotea,unakuwa kama li poyoyo fulani hivi. Ile inner feeling ya ujasiri na ungangari inapotea kabisa, unakuwa unajifeel hovyohovyo muda wote.
Ku-cum ukiwa una-fvck ni tofauti sana na ku-cum kwa nyeto. Effect ya kwenye mwili ni tofauti sana ktk hizo scenario 2. Huwezi elewa hizi scenario kama huja experience them in the first hand.
Nayaongea haya kama expert mzuri wa nyeto niliyefanikiwa kujicontrol.
Kwa nini? Yaani punyeto ni tamu kuliko k? Acha ujingaHuu ndio UONGO ambao wengi wanajidanganya Ila Mwisho wa siku wanarudi palepale