Sikujua kuwa Punyeto ni janga lililo kichini chini

Ndugu andika uzi kuwasaidia vijana kuacha.
 
Hivi unajua kuna watu wanaishi kinyumba Ila hawaridhiki linapokuja suala la kufanya Ngono au haujui? Yaan anafanya tu basi aonekane amefanya Ila haridhiki hilo unalijua?
Hoja yangu ni kujamiiana sio mfumo unaotumika kujamiiana.

Suala la unakula chakula unachokipenda au la ni la mlaji, Nature haina uhusiano na hilo, nature inataka ule.

Kujamiiana navyo ni hivyo hivyo. Asili inataka tujamiiane, suala la mtindo kama utataka ndoa ya mke mmoja, ndoa ya wake wengi, kusiwepo ndoa hilo halina uhusiano tunatakiwa kujamiiana.
 
Nimekwambia Neno KURIDHIKA elewa Neno KURIDHIKA ndio maana nikakuuliza unapata faida gani kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae?
We jamaa una ubishi wa kipumbavu sana aisee. Zaidi ya kuingiza tupu yako kwenye tupu ya mwanamke na kukojoa kuna kuridhika gani zaidi? Au unadhani yale unayotazama kwenye porn ndo yanatakiwa yafanyike? Acha upumbavu.
 
If it doesn't kill you...........
Kwa mjini hapa Dar, bila puli, utakufa maskini..
Kila dem anataka pesa, sasa kwa wiki utatoa bei gani?
 
Nyeto ni mbaya ukifanikiwa kuicontrol ni vizuri.
 
Daaah, yani nimetoka kupiga kimoja mda huuhuu. Nyeto aisee. Sema kiukweli inaokoa sana. Kibongo bongo ni bora umiliki range utalihudumia ila sio mwanamke.
 
Sheria ni mkononi, nyie kuleni mademu .. Ila sheria ni mkononi A. K. A self service
 
Bado haujanielewa nimekwambia hakuna faida kwa Mwanaume kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae kingono, elewa nilichokwambia alafu kumbuka hapa nazungumza MIMI SIO Mzee wangu it's me not him
Sasa kama jibu unalo kua hakuna faida unauliza ili upewe jibu gani?
 
Hii kitu inanitafuna sana, ninanyuchi zaid ya moja but still naipiga hii kwa wiki ata mara 3 ad 4, sometimes nalala na nyuchi kabisa ila akiondoka napiga, dah uraibu mbaya. Nilijaribu kuacha zaid ya mara 50 lakin ikashindikana, nilianza rasmi 2008 ad jana usiku nimepiga. But ahueni sijawai kuface madhara yake
 
Nani aliekwambia ina uwezo wa kukudhuru?

Ushagundua hakuna faida kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae
 
We jamaa una ubishi wa kipumbavu sana aisee. Zaidi ya kuingiza tupu yako kwenye tupu ya mwanamke na kukojoa kuna kuridhika gani zaidi? Au unadhani yale unayotazama kwenye porn ndo yanatakiwa yafanyike? Acha upumbavu.
Hujaelewa bado
 
Sijakwambia usijamiiane nimekwambia ujamiiane Ila uridhike na unaejamiiana nae, ushanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…