Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

Hapo bado we pambana hilo ndiyo chaguo lako. Wenzako wana pambana na maisha we pambana na kujuwana akili ya mwanamke inataka nini. Mwanadamu aliyeweza kuwasiliana na nyoka wakapanga mipango yao ikakaa Sawa we unamuwazia kama binadamu wa kawaida.
 

Wewe ndio huwezi Mkuu.

Elewa, mwanamke wako wewe ndiye mwalimu wake


Usimchulie anaakili kama wewe
Hiyo kusema wanawake wanaakili kuliko sisi wanaume ni kuwapa moyo tuu lakini hivyo umuonavyo wako ndio 90% wako hivyo

Muelekeze kwa upendo.
Usimfokee. Ndani ya miaka mitatu atakuwa bora
 
Ahsante, nice choice of words
 
Broo mimi sibishani na maandiko na naheshimu sana maandiko ya mungu ila tukija kweny reality uhalisia wa maisha, mfano mwanamke anayekujibu kwa dharau, utatumia akili au uvumilivu kuishi nae??
Anza na kupata ukweli wa nini kiko nyuma ya hiyo dharau. Kuna mambo ambayo mara nyingi ukiwafanyia wanawake wataanza kukudharau, mfano, amejua unatembea na housegirl; unabeba michepuko ovyo pamoja na dada poa; unaelewa ovyo halafu na hujiheshimu; mgomvi kwa majirani; hutunzi familia katika mambo ye fedha za matumizi na chakula; anakuzidi uwezo wa kupata hela, unatembea na shemeji yako au rafiki yake; mtaani hawakuheshimu au kukutilia maanani; mvivu nk. Ila kuna jingine wataonyesha dharau - uwezo wako wa kitandani. Kama wewe ni yule wa bam bam whaaa na kukoroma immediately, kwa kweli ni ngumu sana kuheshimiwa na mke.
 
N Nenda Bar kapige vitu ukikutana na Manzi beba huko jifanye umejizima data.
 
Kaka ushawahi kulalamikiwa ufanyi vitu ambavyo hujaambiwa, ukimuuliza kwann huniambii, unajibiwa "wewe ni mwanaume inabidi ujue bila kuambiwa" kwan mi ni mungu niweze kusoma akili yako??
Inabidi ujiongeze ndio,sipendi mwanaume asiyejiongeza.Mfano mtu hawezi kujua kama una shida binafsi akupe kiasi cha hela mpaka uombe.
 
mwanamke hawezi kunichanganya akili yangu hata siku moja, na hajawahi kutokea.

binafsi huwa navuta Sana bangi kwa hiyo huwa Nina maamuzi sahihi na magumu wakati wote.
Kama unavuta bangi, I believe you.
 
Inabidi ujiongeze ndio,sipendi mwanaume asiyejiongeza.Mfano mtu hawezi kujua kama una shida binafsi akupe kiasi cha hela mpaka uombe.
Kwamba nitaota una shida flani?? Ukinambia nina shida babe naomba hela utapungukiwa nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…