Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

That's good πŸ˜‚ Wewe pasua kichwa kweli
nakwambia ni miyeyushoo!
Ila i love being me.
Na mwenywe kashajizoelea.
Kwanza anaweza aniulize hii akili ya kuwa na akili leo umeipata wapi!
Na ni bonge la jembe, ila with him
sitaki kutumia brain bana weeee, malapa atanunua na maji atanunua ninawe miguu twendelee na safari!
 
Unacomplicate mambo. Ulivyoona hataki kuacha hivyo viatu mapema ungechukua sandals in advance weka kwa gari. Alafu hata yeye mshamba tu mbona wanawake wanaojitambua wanapoenda outing wanachukua vitu vya tahadhari kama vitenge, open shoes raba etc.
 
Mwaka mmoja ni 'reasonable' na mnaweza kufungua ndoa. Miaka inayofuata ni kuendelea kujifunza kupendana na kuishi pamoja - maisha yote ya ndoa ni ya kujifunza
Sio MIMI Hawa vigeugeu inabidi uwapimie mbio ndefu miaka 10 kuendelea km Davido vile miaka 7 anapima upepo tu
 
Sio MIMI Hawa vigeugeu inabidi uwapimie mbio ndefu miaka 10 kuendelea km Davido vile miaka 7 anapima upepo tu
Uchumba siyo kumpima mchumba wa kike tu, hata wa kiume maana kuwa kigeugeu hakutokei tu kwa wanawake. Hata baadhi ya wanaume pia ni vigeugeu.
 
Serious mpaka miaka hii kuna watu wanasumbuliwa na wanawake....

Bado kuna watu wanasumbuliwa na mapenzi kufanya mtu kuwa na mawazo kiasi hiki.....
 
Sure man that's true, ni Jambo la kawaida tu
Haya mambo ya kawaida nashangaa vijana wanavo chukulia mapenzi serious hivi...

Yaani unakuta kijana shabab wa kiume anatype type ety wanawake wanawake.. yaan wana wapa kiki za kijinga sana
 
Haya mambo ya kawaida nashangaa vijana wanavo chukulia mapenzi serious hivi...

Yaani unakuta kijana shabab wa kiume anatype type ety wanawake wanawake.. yaan wana wapa kiki za kijinga sana
Kwa hio unataka watype type mapenzi nini? Wasitaje wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…