The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Tate Mdodo, kwanini usiilete hiyo hoja yako na kuacha yangu kama ilivyo? Sidhani kama tuna uwezo wa kuona jambo moja wa lens moja mwanangu tate mdodo.Halafu itakusaidia nini ukijua! Kama serikali yako ya ccm kila siku inawabagua waziwazi wananchi na viongozi wa vyama vya upinzani; kwa nini usilete hoja tuwajadili kwanza hawa wabaguzi wetu wa ndani kabka ya kukimbilia kwa hao wa nje?
Sio kanisa la rangi za watu.Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Wewe unachohoji kinakusaidia nini?Saint Victor 1, Saint Miltiades, Saint Gelasius walizaliwa Afrika. Lakini kama ulivyoulizwa hapo juu, itakusaidia nini?
Amandla...
“Enyi watu! Hakika Mola wenu ni mmoja, na baba yenu ni mmoja. Hakuna ubora wa Mwarabu juu ya Asiayekuwa Mwarabu, wala asiye Mwarabu juu ya Mwarabu, wala mweupe juu ya mweusi, wala mweusi juu ya mweupe—isipokuwa kwa **taqwa (kumcha Allah).”Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Wanahubiri maji na kunywa mvinyo kama kawaida yao. Tunataka huu usawa kwa vitendo siyo ngano na ngonjera za alfleilaule za kulaani.“Enyi watu! Hakika Mola wenu ni mmoja, na baba yenu ni mmoja. Hakuna ubora wa Mwarabu juu ya Asiayekuwa Mwarabu, wala asiye Mwarabu juu ya Mwarabu, wala mweupe juu ya mweusi, wala mweusi juu ya mweupe—isipokuwa kwa **taqwa (kumcha Allah).”
Mtazamo wa kiislamu
Fact Kijana wa sisiemu huyucome on, man, Kanisa Katoliki lina miaka karibia 2000, Kanisa la kwanza tanzagiza lilijengwa miaka > 150 iliyopita, hakafu unaquestion kwa nini kwa hakuna Papa mweusi? na kwa nini kutokuwa na mtu mweusi popote kunafanya racist? watu weusi ni asilimia ngapi ya world population? angalau ungeuliza kwa nini hakuna Papa ktk damaskus Siria kidogo ungekuwa na hoja kwani Kanisa la Damascus lina miaka zaidi ya 2000, afrika ukatoliki umeingia karne moja tu iliyopita leo unataka iwe sehemu ya Kanisa kila mahali ?
Kwa miaka ya karibuni hakuna, kitambo waliishatokea mapapa weusi/ wenye asili ya kiafrika watatu kati ya miaka 180 - 500 hapo, tena mmoja ndo alipitisha na kutoa amri pasaka isaliwe jumapili tu na isiwe na fixed data kama Chrustmas.Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.
Soma uzuri. Nimeandika siku za hivi karibuni. Hso unaosema nawajua.Nenda kachimbe wewe, usiwe mvivu, waliishatokea mapapa weusi/ wenye asili ya kiafrika watatu kati ya miaka 180 - 500 hapo, tena mmoja ndo alipitisha na kutoa amri pasaka isaliwe jumapili tu na isiwe na fixed data kama Chrustmas.