Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Ninachojua ni kwamba hata chadema ikipata nguvu ya kiongoza nchi itawabagua CCM na vyama vingine!Halafu itakusaidia nini ukijua! Kama serikali yako ya ccm kila siku inawabagua waziwazi wananchi na viongozi wa vyama vya upinzani; kwa nini usilete hoja tuwajadili kwanza hawa wabaguzi wetu wa ndani kabka ya kukimbilia kwa hao wa nje?
Kwa ufupi wanachokifanya CCM na chadema walipata nafasi watafanya hichohicho.
Wakenya walipiiondoa kanu madarakani walipata nini zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe?! Namaanishanisha wafuasi wa Raila Ofinga na Mwai Kibaki ambao mwanzo walikuwa pamoja kwenye mkakati wa kuiondoa KANU madarakani walivyofanikiwa miaka michache wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe.!