05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
umeelewa eeeeh? Cool mwanangu.
Sawa ila .. endelea kusoma mwanzo Jama alolaaniwa ndo alienda kuishi nchi ya jangwani na pembezoni mwa mto yoldani ... Kama laana ilivyosema atakuwa mtumwa basi akawa anawaandalia waisrael mji waliokuja kuish badae ... Kupitia (ABRAHAM)
watu wa kaanani ni waarabu weusi so far .. na kwa asilimia kubwa waliangamizwa katika mji wa sodoma na Gomola ...
Ukiendelea katika kitabu hicho Cha mwanzo. Utaona namna watoto wengine wa HAMU walivyo endelea na life lao lililo barikiwa ... Unaeza wakuta watu kama ... NIMRODI mtu wa kwanza kutamkwa kwenye biblia Kama mtu mkuu Sana (mighty man )
Huyu jamaa alikua mtoto wa Kush from Ethiopia .. miji yote mikubwa ya kale ya kwanza kabisa ilijengwa na huyu MWAMBA ikiwepo Babeli. (NB: Miji yote mikubwa ya kwanza.. so yeye ndiye mtu wa kwanza kuanza kujenga miji since kuumbwa kwa ulimwengu)
Na aliipa majina ya wake zake kwa asilimia kubwa nenda hata Google search NIMROD.
Bro Mwafrica in general hakulaaniwa.
alolaaniwa ni mjukuu wa NUHU Kaanani (ambaye ni mtu mmoja tu miongoni mwa waafrica waliokuwepo hata kipindi laana inatolewa).
Nae hajawah ishi Africa toka alaaniwe na Babu yake. Alikimbilia huko Israel Baba na kaka zake walimfata arudi kwao MIZRAIM (ardhi wa watu wenye ngozi iloungia na jua) sabab huko ndipo nyumbani kwake hakupaswa kuteseka katika nchi ya jangwa .. yeye akagoma. Kumbe ndo laana ilivyo ilibidi abaki kuendelea na maandalizi ambapo mda so mda NUHU akaja kupewa mji ulio andaliwa na watoto wa Kaanani.
Guys let's say KAANANI ni Mwafrica kwa makaz Kwan ktk biblia mji wa kaanani upo Huku kwetu ???
Father of All