Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
TZ haijawahi kuwa na, Rais mwenye asili ya kiasia, je TZ ni nchi ya kibaguzi?
Papa, alyefariki ni wa kwanza kutoka Latin America baada ya miaka 1000! Waliopita wote walitoka ulaya
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
Siyo sk za karibuni, hakujawahi kuwa na papa mweusi. Kuuliza ubaguzi RC ni sawa na kuuliza makofi polisi
 
Weusi mko wachache duniani ,kwenye probability tuna nafasi ndogo sana ..Nyie acheni kutafuta huruma kikubwa apatikane mwenyewe vigezo.

Wewe unayetaka mwenyewe basi ndiye mbaguzi.
 
Siyo sk za karibuni, hakujawahi kuwa na papa mweusi. Kuuliza ubaguzi RC ni sawa na kuuliza makofi polisi
Yep. Karibia dini zote nyemelezi za kigeni zina uzwazwa na jinai hii dhidi ya watu weusi japo hakuna watu weupe bali wa pink na hao waasia ambao sijui tuwaiteje kama siyo maji ya kunde tu.
 
Sijui kama unaelewa na mantiki ya hoja unayojitahidi kujadili kwa pumba. Nadhani nimeongelea ubaguzi wa kidini na kimfumo ambao umo kwenye dini zote nyemelezi za kigeni. Sijui usichoelewa hapa ni nini mwanangu hadi unaota mapovu bila sababu yoyote ya msingi japo iwe nusu au moja.
Hiyo dhana iliyopo kichwani kwako (Ubaguzi) haiko applicable kwenye uteuzi wa Papa. Ila kwakuwa akili yako tayari umeielekeza huko hakuna namna utaeleweshwa utaelewa.
Kwa hizo lugha unazotumia ni hatua ya mwisho ya mtu aliyekosa hoja ndiyo huanza kutoa lugha za matusi na kebehi.
Unawatukanisha wazazi wako na jamii yako kwa ujumla kwa kutokupatia malezi stahiki
 
Mengine si ya kucheka,ila ndio huna budi, Ila imegundulika kua Jesus aka Nabii Issa alikuwa mweusi. Na hili alilisema Mtum wetu Muhammad Sallah llahu alaihi wasalaam, Kuwa Jesus alikuwa mweusi na alitoa mfano wa rangi yake kwa kabila lililokuwepo ambao ni weusi.
 
Heri kipofu wa macho kuliko ubongo. Kwa msimamo huu, sina la kuongeza kuendelea kutwanga maji kwenye kinu nikitegemea kupata unga.
 
Mengine si ya kucheka,ila ndio huna budi, Ila imegundulika kua Jesus aka Nabii Issa alikuwa mweusi. Na hili alilisema Mtum wetu Muhammad Sallah llahu alaihi wasalaam, Kuwa Jesus alikuwa mweusi na alitoa mfano wa rangi yake kwa kabila lililokuwepo ambao ni weusi.
Unaweza kuwaamini hawa akina Muhamed ya Yesu na uabunwasi wao mwanangu. Shida siyo Yesu au Mohamed kuwa weusi bali kufichua ukoloni wa kimila tulioletewa kwa kuwatumia. Kama Yesu alikuwa mweusi basi na Muhamed alikuwa mweusi.
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.

Huwezi kuweka taa ya 15WATTS umeme wa 15KW.

Muda utafika .
Kadinali wa Kwanza Afrika ni Kadinali Rugambwa .
Na bado hajaitwa Mtakatifu .
Ukoloni na Dini za wazungu zimeingia Afrika kama karne tatu tu zilizopita .
Kwa Tanzania dini hiyo imeletwa karne mbili zilizopita lakini hata hivyo karne moja mbeleni akatokea Kadinali .

Uislam umefika Afrika zaidi ya Karne 12 zilizopita h
 
Kwani Yesu alikuja Africa? Au kulikuwa na Wayahudi weusi? Hivi ule mkoba aliokuwa akibeba YUDA ISKARIOTE alivyokuwa akidokoa dokoa, je angekuwa mbongo si.wangekuwa wanalala njaa hata Ile mikate yakuombea wasingeipata.
😂😂😂
 
Aliekwambia uadhini ni Nafasi ya chini ni nani au umesoma wapi??

Unajua hiyo nafasi ina heshima Gani kwenye Mafundisho ya kiislamu??

Au unachukulia mfano wa misikiti ya hapo mtaani kwako ku generalize jambo zima??

Fatilia waadhini wa Misikitini kama makka na madina namna wanavyopatikana na heshima yao.
Halafu akae akijua msikiti mkuu wa makka ulishwahi kuwa na imam mkuu ambae ni mweusi
 
Kwa upande wangu. Angalia kwanza asili ya eneo na wakazi wa hilo eneo. Mfano kwa waisalam mtume MUHAMMAD (saw) alikua bara la Arab.na bilali bin rabah alikuja saudia kama mtumwa.
Lakini kwa wenzetu kwa ma papa kwanza wanatokea ulaya kwwnye chimbuko la wazungu ni ngumu kupata kiongozi wa taifa jingine.
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
khaa, wamlinganisa pope na mtume muhammad?
 
Aliekwambia uadhini ni Nafasi ya chini ni nani au umesoma wapi??

Unajua hiyo nafasi ina heshima Gani kwenye Mafundisho ya kiislamu??

Au unachukulia mfano wa misikiti ya hapo mtaani kwako ku generalize jambo zima??

Fatilia waadhini wa Misikitini kama makka na madina namna wanavyopatikana na heshima yao.
Ningetamani kujua namna wanavyopatikana.
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
Roman catholic ni empire ya Natalian sasa empire ya walian unatakaje iongozwe na watu weusi?
 
Back
Top Bottom