Jesus alikuwa mweusi ,itakuwa hamjawahi kusikia black Jews, Hata Mtume Muhamad amehusiana na watu weusi, Hata Nabii Adam na Bibi Hawaa hawakuwa weupe ,kama wazungu ,hawa wazungu au watu weupe walikuja baadae.
Nikikuambia Ngorongoro crater ndio Bustan ya Aden utapiga makelele ila huo ndio ukweli.
Nikikuambia Ngorongoro crater ndio Bustan ya Aden utapiga makelele ila huo ndio ukweli.