Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mnao nunua hili gari mmeangalia mazingira halis ya hapa kwetu tz? Gari ipo chini sana pia ni gari ambayo mafuta yanaenda mengi sana sijui kuhusu spare zake kama ni rahisi kuzipata hapa bongo je mafundi wa magari hapa bongo wanaweza litengeneza ilo gari? Mafundi wa bongo ni wachache sana wako expert kama unataka nunua hili gari sikushauri utakuja kuuza kwa bei ya hasara
Kimbia haraka ukanunue wala usiulize we ujipange tu mafutakumbe
vipi rav 4 vanguard
Chuma imekaa vizuri tu. Kama unaishi makorongoni ndio utapata tabu kwa kuwa ni kweli iko chini. Kuhusu mafuta na spare mbona zipo za kutosha. Tangu ninunue natembea average ya 12.5km per litre. Mafundi wapo wa kutosha, tena kuna garage special kwa ajili ya subatu tu. Inategemea unaishi wapi.Mnaonunua hili gari mmeangalia mazingira halisi ya hapa kwetu Tanzania? Gari ipo chini sana pia ni gari ambayo mafuta yanaenda mengi sana sijui kuhusu spare zake kama ni rahisi kuzipata hapa bongo, je mafundi wa magari hapa bongo wanaweza litengeneza ilo gari?
Mafundi wa bongo ni wachache sana wako expert kama unataka nunua hili gari sikushauri utakuja kuuza kwa bei ya hasara.
Ipo poa sana iyo gari mafuta tu unatakiwa uwe na kibundakumbe
vipi rav 4 vanguard
Chukua mkuukumbe
vipi rav 4 vanguard
Gari ya hovyo sana zile zina chemka na zinaongoza sana kwa kuunguaNissan Dualis ndiyo gari nzuri kwa walala hoi kama nyinyi
kama unataka Nissan ya watu wakati na barabara za ulimwengu wa tatu nenda na X -trail. Duals kidogo mayai na haija perform huku kwenye barabara zetuNissan Dualis ndiyo gari nzuri kwa walala hoi kama nyinyi
Sisi tuna range.au vipi mrembo.Nissan Dualis ndiyo gari nzuri kwa walala hoi kama nyinyi
Subaru Legacy sijawahi kujuta...πNi kweli Impreza sio rafiki kwa mazingira yetu sema tu inatembelea nyota ya Subaru Forester
Walau hii last generation yenyewe imekaa powa sana.
Toa ushamba wako ha paGari ya hovyo sana zile zina chemka na zinaongoza sana kwa kuungua
nzuri lakini ujue vanguard haina tairi la dharura. ukiwa na safari ndefu hakikisha matairi ni mazuri. ikipiga pacha inarekebishika kwa kuweka dawa lakini ikipiga bust ya maana ujue umeumiakumbe
vipi rav 4 vanguard
Apia....πToa ushamba wako ha pa
Toa ushamba wako ha pawweeGari ya hovyo sana zile zina chemka na zinaongoza sana kwa kuungua
wee mweupe tuu.hu ju i ki t uApia....π
Mbona unaifanya too personal....π shusha hoja binti...πToa ushamba wako ha pawwee
wee mweupe tuu.hu ju i ki t u
jiangalie wee mrembo.mimi kidume chambegu sio binti mwenzioMbona unaifanya too personal....π shusha hoja binti...π