Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Acha uwongo sisi tuna deal na spear za Subaru tupu na tuna gereji ya Subaru spear zote unazitaka zipo.kumbe
vipi rav 4 vanguard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uwongo sisi tuna deal na spear za Subaru tupu na tuna gereji ya Subaru spear zote unazitaka zipo.kumbe
vipi rav 4 vanguard
Vp wese mkuu inakupa ngapi kwa ltSubaru Legacy sijawahi kujuta...[emoji4]
12-14 kilometres per 1 litaVp wese mkuu inakupa ngapi kwa lt
Naomba nikupuuze tafadhali...🚮jiangalie wee mrembo.mimi kidume chambegu sio binti mwenzio
naweza kukujaza kibendi ukashusha mapacha.🖕
fanya hivyo zee la hovyoNaomba nikupuuze tafadhali...🚮
Siongelei rami ila gari ipo chini sanaNchi nzima kuna lami mkuu wewe unaishi bonyokwa
Dahhhh....Nchi nzima kuna lami mkuu wewe unaishi bonyokwa
NakaziaNissan Dualis ndiyo gari nzuri kwa walala hoi kama nyinyi
Sio mshamba sisi nusu tuungulie ndani ya huo mdude soo called dualisToa ushamba wako ha pa
Zinaungua hizoo eeeh kama hujanunua usijaribu mwaka juzi nusu tuungulie kwenye gariNakazia
toa uongo hapa.Sio mshamba sisi nusu tuungulie ndani ya huo mdude soo called dualis
Haya maviete unayoyaona barabani Ni ya wakenya sioWatanzania walio wengi wanalazimisha maisha ila hadhi Yao ni Pajero mini
1.4wd
2.ipo juu jui
3.650cc
4.
Sawa.toa uongo hapa.
Mkuu, umemaliza kabisa Subaru Impreza ni miongoni mwa gari bora kabisa pia mafuta matumizi yake ni ya kawaida sana, nina wasiwasi kama mtoa hoja either amewahi miliki hii gari ama amewahi itumia.[emoji23][emoji28] Tanzania hii kuna sehem mtu anaishi Subaru Impreza haiwez kufika..? Basi atakuwa anaishi kuzimu... Subaru zote ni 4 wheels zinavuta tairi zote, ushawahi ona Subaru imenasa sehem..? Subaru zote ni sport car zina stability ya hali ya juu barabarani, ushawahi kuona Subaru imepinduka..?
Wewe utakua umenunua Subaru Impreza mbovu tena mbovu kupindukia... Subaru Impreza zote unazozijua wewe zinatembea Km 12.5 kwa Lita 1... Na Subaru Forester zote unazozijua wewe zinatembea Km 10-12 kwa Lita 1... Sasa kama uliingia kichwa kichwa kwa fundi maiko akakuuzia Subaru mbovu relax na wewe tafuta mashamba mwenzako muuzie... By the way Subaru zote zina mafundi hadi mikoani na spear zapatikana, tofaut ya spears za Subaru na Toyota ni bei ndogo sana haikufanyi ukimbie, advantage Subaru spear zake ni original ukiweka umeweka...
Shida yetu WaTz tunapenda kusikiliza maneno ya vijiweni kutoka kwa watu ambao hawana experience na vitu na hawajawah kumilik vyombo vya moto...
Kuna watu mnasema NISSAN DUALIS zinaungua moto [emoji23][emoji28] gari yoyote inaungua moto wazee, fanyeni utafiti mdogo mtagundua gari zote zilizoungua moto, mtakuta mmiliki aliongeza mifumo ya umeme kwenye taa, push2start, alarm... Mnaziongezea gari uzalishaji wa umeme na matumiz ya mafuta halafu mnakuja kuwalaumu wazungu na wajapan bure...
By the way gari ni vile unavyo liheshimu na kulitunza, kuna Watu wanakaa na magari 5-10 yrs hawajawah kuigusa engine zaid ya kubadirisha vitu common... Wakat kuna wengine gari hilohilo in 2yrs kafungua hadi engine na ashazunguka garage zaidi ya 5 [emoji23][emoji28]
Hii ndio Tanzania [emoji1241] ninayoijua watu wanapotoshana sana niliagiza Subaru Impreza iliingia tarehe 6 Juni, 2019 sijutii hizi gari zina nguvu! Sidhani wala kufikiri kama nitarudi kuendesha sedan za Toyota! Full vibration kwenye kwenye dashboard!Mkuu, umemaliza kabisa Subaru Impreza ni miongoni mwa gari bora kabisa pia mafuta matumizi yake ni ya kawaida sana, nina wasiwasi kama mtoa hoja either amewahi miliki hii gari ama amewahi itumia.
Hii gari ina option pia ya kuinua in case barabara yake sio rafiki na mafundi wapi lakini pia Dunia ipo kiganjani unaweza pata kitu chochote kutoka mahala popote. Naomba kuwasilisha