Sikushauri kununua Impreza subaru

Sikushauri kununua Impreza subaru

Tafuta pesa nyingi akuna gari linalo kunywa mtori sawa.
 
Watanzania walio wengi wanalazimisha maisha ila hadhi Yao ni Pajero mini
1.4wd
2.ipo juu jui
3.650cc
4.
 
😂😅 Tanzania hii kuna sehem mtu anaishi Subaru Impreza haiwez kufika..? Basi atakuwa anaishi kuzimu... Subaru zote ni 4 wheels zinavuta tairi zote, ushawahi ona Subaru imenasa sehem..? Subaru zote ni sport car zina stability ya hali ya juu barabarani, ushawahi kuona Subaru imepinduka..?
Wewe utakua umenunua Subaru Impreza mbovu tena mbovu kupindukia... Subaru Impreza zote unazozijua wewe zinatembea Km 12.5 kwa Lita 1... Na Subaru Forester zote unazozijua wewe zinatembea Km 10-12 kwa Lita 1... Sasa kama uliingia kichwa kichwa kwa fundi maiko akakuuzia Subaru mbovu relax na wewe tafuta mashamba mwenzako muuzie... By the way Subaru zote zina mafundi hadi mikoani na spear zapatikana, tofaut ya spears za Subaru na Toyota ni bei ndogo sana haikufanyi ukimbie, advantage Subaru spear zake ni original ukiweka umeweka...
Shida yetu WaTz tunapenda kusikiliza maneno ya vijiweni kutoka kwa watu ambao hawana experience na vitu na hawajawah kumilik vyombo vya moto...
Kuna watu mnasema NISSAN DUALIS zinaungua moto 😂😅 gari yoyote inaungua moto wazee, fanyeni utafiti mdogo mtagundua gari zote zilizoungua moto, mtakuta mmiliki aliongeza mifumo ya umeme kwenye taa, push2start, alarm... Mnaziongezea gari uzalishaji wa umeme na matumiz ya mafuta halafu mnakuja kuwalaumu wazungu na wajapan bure...
By the way gari ni vile unavyo liheshimu na kulitunza, kuna Watu wanakaa na magari 5-10 yrs hawajawah kuigusa engine zaid ya kubadirisha vitu common... Wakat kuna wengine gari hilohilo in 2yrs kafungua hadi engine na ashazunguka garage zaidi ya 5 😂😅
 
[emoji23][emoji28] Tanzania hii kuna sehem mtu anaishi Subaru Impreza haiwez kufika..? Basi atakuwa anaishi kuzimu... Subaru zote ni 4 wheels zinavuta tairi zote, ushawahi ona Subaru imenasa sehem..? Subaru zote ni sport car zina stability ya hali ya juu barabarani, ushawahi kuona Subaru imepinduka..?
Wewe utakua umenunua Subaru Impreza mbovu tena mbovu kupindukia... Subaru Impreza zote unazozijua wewe zinatembea Km 12.5 kwa Lita 1... Na Subaru Forester zote unazozijua wewe zinatembea Km 10-12 kwa Lita 1... Sasa kama uliingia kichwa kichwa kwa fundi maiko akakuuzia Subaru mbovu relax na wewe tafuta mashamba mwenzako muuzie... By the way Subaru zote zina mafundi hadi mikoani na spear zapatikana, tofaut ya spears za Subaru na Toyota ni bei ndogo sana haikufanyi ukimbie, advantage Subaru spear zake ni original ukiweka umeweka...
Shida yetu WaTz tunapenda kusikiliza maneno ya vijiweni kutoka kwa watu ambao hawana experience na vitu na hawajawah kumilik vyombo vya moto...
Kuna watu mnasema NISSAN DUALIS zinaungua moto [emoji23][emoji28] gari yoyote inaungua moto wazee, fanyeni utafiti mdogo mtagundua gari zote zilizoungua moto, mtakuta mmiliki aliongeza mifumo ya umeme kwenye taa, push2start, alarm... Mnaziongezea gari uzalishaji wa umeme na matumiz ya mafuta halafu mnakuja kuwalaumu wazungu na wajapan bure...
By the way gari ni vile unavyo liheshimu na kulitunza, kuna Watu wanakaa na magari 5-10 yrs hawajawah kuigusa engine zaid ya kubadirisha vitu common... Wakat kuna wengine gari hilohilo in 2yrs kafungua hadi engine na ashazunguka garage zaidi ya 5 [emoji23][emoji28]
Mkuu, umemaliza kabisa Subaru Impreza ni miongoni mwa gari bora kabisa pia mafuta matumizi yake ni ya kawaida sana, nina wasiwasi kama mtoa hoja either amewahi miliki hii gari ama amewahi itumia.

Hii gari ina option pia ya kuinua in case barabara yake sio rafiki na mafundi wapi lakini pia Dunia ipo kiganjani unaweza pata kitu chochote kutoka mahala popote. Naomba kuwasilisha
 
Hii ndio Tanzania [emoji1241] ninayoijua watu wanapotoshana sana niliagiza Subaru Impreza iliingia tarehe 6 Juni, 2019 sijutii hizi gari zina nguvu! Sidhani wala kufikiri kama nitarudi kuendesha sedan za Toyota! Full vibration kwenye kwenye dashboard!
 
Back
Top Bottom