sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi.
Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo.
Tanzania haina taasisi imara, hivyo kauli ya kiongozi wa juu zinahitajika ili baadh ya mambo yaende,
Shida ni kua either asiongelee kabisa jambo linalowasibu wananchi, au aongee kitu ambacho kitawaumiza wananchi
1. Kusema utekaji ni drama, kitu ambacho wapo waliotekwa na wakavunjwa hadi taya, ila yeye ame dramatize.
2. Kusema watufanye miradi ndio walipe wananchi, ni kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa ila hii imezidi. Miradi sio dharura, huwezi kupata peaa ya kulipa mkandarasi ila usiwalipe wananchi, huu ni uonevu na kiburi kikubwa.
3. Wanajeshi walipiga wananchi kule kawe kwa kosa alilofanya mtu mmoja, lakini hakuna mteule wake wala yeye aliekemea.
4. Kuna muuza madini alieuliwa mtwara, ugumu wa ile keshi ni upi iliwa watu wanajulikana kabisa? Haya kutokea kwenye utawala wake ni jambo la ajabu.
5. Mpaka sasa askari wanafanya danadana suala la waliolawiti mdada wa watu, hawasemi wangapi wamekamatwa na nini kinaendelea.
6. Kukamatwa mtu kisa kachoma picha yake, na sasa haonekani ni jambo la ajabu pia.
7. Ubadhilifu wa fedha uliotajawa na CAG na hakuna muendelezo
8. Tume ilioundwa kuchunguza matumiz ya ikiru baada ya kufariki JPM, hatujasikia majibu yake.
9. Kwanini hatujaambiwa gari ya mbunge iliokua inatumika kusafirisha wahiaji ni ya nani?
All in all ni kama vile Rais hana habari na mambo ya wananchi
Moja ya jambo la kuogopa kwa sasa hapa tz, Nipamoja na kuingia kwenye 18 za wenye mamlaka, wadhfa na connection, because nobody will touch them.
I TRUELY HATE INJUSTICE, DEEPLY HATE IT. AND I BETTER GO TO HELL WITH THOSE CORRUPT GOVERNMENT OFFICIALS THAT BEING WITH THEM IN HEAVEN.