Jana baada ya kusikia kauli za Waziri Simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda.
Nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya.
Waziri Simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana.
Angekuwa na busara hata kama ni kweli polisi wanachukua watu waliofeli hakupaswa kuongea hadharani, mtu mwenye akili hupima kwanza maneno kabla hajayazungumza.
Polisi hawa wanafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha usalama, Polisi wanalala nje na wameyaweka maisha yao rehani kwaajili ya Raia.
Halafu kizembezembe tu Waziri unatoa kauli kama ile? uliipima ile kauli kwamba Polisi wetu wataipokeaje?
Umezingua sana waziri, Rais alisema ukizingua utazinguliwa, Sitarajii kama utaendelea tena hiyo nafasi
Maoni yangu naonma tu upumzike