Magufuli kama Nkrumah, Lumumba, Chavez, Gadaffi, Saddam, Abacha, Arafat (Rip), huwezi ukashinda kutwa nzima unawapinga hao kwa kuwakejeli eti mabeberu eti ukauona uzee wako, never.
Hao sio watu wa spoti spoti, watakumaliza hata kwa nguo unazovaa ambazo wao ndio watengenezaji hata kwa hizo Limausine unayopanda, jamaa wako vizuri kimbinu.
Huyu angemalizwa mapema mno basi tu waliacha uchaguzi upite kwanza wakifikiri angeshindwa sasa na alipohujumu huo uchaguzi ndio akawa kabisa kamwaga petroli kwenye moto. Eti mtu anakomalia "Physical Security" wenzako wanakucheka tu.