Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

Hivi wewe Jingalao kwa akili za kawaida tu,Jiwe alifanya mambo yake kwa usahihi?Kama Jiwe angekuwa sahihi kwenye issue zake asingetumia ubabe mwingi na nguvu kubwa,kupitisha mambo yake.Jiwe alikuwa ni dikteta uchwara.Sio vibaya watu kujisahihisha pale walipo potoka!
 
Anatest zali la Mama Samia, kuona kuna njiti ngapi za kiberiti, maana watu wa dizaini hii wasioweza kuishi bila vyeo ni hatari sanaa!
 
Mwendazake pia alipiga marufuku mabango ya wenzie yasiwekwe au yashushwe na kuharibiwa. What goes around comes around
Ila jamani siwez sahau Lissu hakuna hata na bango jamani....ila Mungu kumbe anaipenda sana sana Tanzania ..kwakweli tumtolee shukrani
 
Hamtakagi mtu aseme tofauti na jiwe Muungu wenu, pelekeni ujinga huko.
Kiuongozi serikalini jambo likipitishwa kwenyekikao wooote mnalisimamia hivyo hatakama ulikuwa na hoja tofauti, hii haiondoi wazo lako la awali hivyo wakati mwingine unaweza kutoa mtizamo wako binafsi na sidhambi!!! Muwe mnajifunza hasa ninyi ambao hamjawahi kuwa hata mamonitor wa darasa mnaotaka sasa kukosoa mawaziri na maraisi
 
What evidence do we have that vaccine works on controlling the pandemic?
Good question. and maybe hilo swali litakuwa zuri kama tukijiuliza. kama nchi? tumefanya research yoyote ya kupata chanjo? tume conduct experiments zozote kujua kama chanjo ni valid?

au tunasubiri Mzungu ahaangaike huko sisi ndio tuje tujadili kazi yake kama kawaida yetu? waataalam wetu wanasubiri nn?
 
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli.
View attachment 1743510
Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.

Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .

Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

Nawachukulia kama wasaliti waliotumwa kupima upepo.

kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
Mataga bhana!!!
 
Kigwangala huu ndio msimu wake wa mwisho kwenye siasa anajaribu na yeye kuacha legacy. Kachelewa hatafanikiwa kama ana ajenda mbovu nyuma yake.
Na uCCM wangu, Mungu akinijalia nikawa hai kipindi cha kampeni za uchaguzi 2025, nitajitolea kwenda Nzega kihakikisha Kigwangalla hapiti kwenye kura za maoni na akipitishwa na chama Dodoma, basi hashindi uchaguzi.
 
Na uCCM wangu, Mungu akinijalia nikawa hai kipindi cha kampeni za uchaguzi 2025, nitajitolea kwenda Nzega kihakikisha Kigwangalla hapiti kwenye kura za maoni na akipitishwa na chama Dodoma, basi hashindi uchaguzi.
Ni maombi yangu fikra za Jiwe zipotelee mbali kama yeye mwenyewe alivyopotea.Hatukuwa na raisi bali Farao/Herode/Nebuchadnezzar ndiye aliyetawala.Jamaa alikuwa na roho mbaya na katili Sana!
 
Good question. and maybe hilo swali litakuwa zuri kama tukijiuliza. kama nchi? tumefanya research yoyote ya kupata chanjo? tume conduct experiments zozote kujua kama chanjo ni valid?

au tunasubiri Mzungu ahaangaike huko sisi ndio tuje tujadili kazi yake kama kawaida yetu? waataalam wetu wanasubiri nn?
Ni professional abuse kutafuta chanjo ya mafua.
tumeishi na mafua miaka na miaka hii ndio mara ya kwanza kusaka chanjo ya mafua
 
Panaldo, Chanjo za minyoo ,na utotoni , Dawa za malaria, arv , dawa za tb, na kadhalika zote izo ni dawa ambazo formula yake imegunduliwa na mabeberu ,

Mwenda zake alikuwa anapambana na mabeberu lakini hakuna mipango yoyote aliyoijenga ili kuhakikisha nchi inaanza kujitegemea , zaid amekandamiza wasomi na kuwatumia vijana aliowatoa ubongo. Ambao hawana hata maono ya kitaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa soda nakuja kulipa. Hata huyu mleta mada ni moja kati ya watu waliotokana na vijampo vya yule zimwi
 
Back
Top Bottom