Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

Umeumia Sana wenzio kuwahi siti kwenye kubadili gia angani na wewe fanya hivyo hujachelewa , chawa wote watabadili gia angani hakuna atayebaki
Screenshot_20210404-133439.png
 
Hamisi kaonyesha bado ana hasira kupigwa chini na ndio hawa wanafiki wakioshangilia kifo.
 
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dr John Pombe Magufuli.

Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.

Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .

Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

Nawachukulia kama wasaliti waliotuma kupima upepo.

kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.

Watanzania tunataka SGR , BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.

Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.
Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi ( Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza , hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote ,ukifanya hivyo watanzania hatutakuelewa
 
Hii ndio mentality ya vijana wengi wa CCM. Mtu kuongea facts kwamba sasa tufuate evidence based techniques ni usaliti?

Kigwangalla anaweza kuwa kachelewa kusema ukweli lakini cha msingi zaidi ameweza kuwa bold enough na kusema. Hapa utaona kabisa mnafiki ni nani haswa
 
Hii ndio mentality ya vijana wengi wa CCM. Mtu kuongea facts kwamba sasa tufuate evidence based techniques ni usaliti?

Kigwangalla anaweza kuwa kachelewa kusema ukweli lakini cha msingi zaidi ameweza juwa bold enough na kusema. Hapa utaona kabida mnafiki ni nani haswa
What evidence do we have that vaccine works on controlling the pandemic?
 
Uhuru wa maoni ni muhimu sana katika taifa maana unaweza fanya kazi na mtu kumbe akilini kwake anakuita majina yote mabaya ila usoni anacheka na kukupigia kampeni.
 
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dr John Pombe Magufuli.

Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.

Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .

Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

Nawachukulia kama wasaliti waliotuma kupima upepo.

kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
Usaliti uko wapi hapo na wanamsaliti nani!!??
 
Mtachanjwa tu hakuna namna.
Tunza post hii
 
Mkuu na mm naungana na wewe. Nilijua Magufuli angesalitiwa kabla ya wiki kabhrini ila siyo kwa kiwango hiki na kutoka kwa watu aliowapa uwaziri pamoja na mgombea wa ccm Dr. Elia.

Hawa watu ni wanafiki kupindukia na hawatakiwi kupewa madaraka zaidi ya kuwa viongozi wa familia zao majumbani kwao.

Bora wewe jingalao walau umesimama na msimamo wako hadi leo. Japo najua soon na wewe utamsaliti mwendazake.
 
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dr John Pombe Magufuli.

Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.

Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .

Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

Nawachukulia kama wasaliti waliotuma kupima upepo.

kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
Kigwangala ameongea kama mtaalamu wa afya...na nikweli,yeye ni daktari kitaaluma,kwa hiyo ana mamlaka ya kutoa ushauri wa kuaminika katika masuala ya korona.

Sasa wewe chawa wa Magufuli,ambaye hujui kwamba zama zimebadilika, unataka watu waendelee kufa kwa korona kwa ujinga wa kutofuata njia za kisayansi?

Wewe ndie msaliti. Kigwangala ametumia uzalendo wake na utaalamu wake kushauri jambo jema.
 
What evidence do we have that vaccine works on controlling the pandemic?

Waluchosema ndiyo scientific facts isipokuwa walikuwa wanafiki wakati Magufuli akiwa hai kwa ajili ya matumbo yao.

Hata wale Professor pale MNH na MUHAS walikuwa wanajua ile nyungu point ni upumbuvu sema matumbo yao yaliwafanya wawe wanafiki. Professor Janab apoteze ukurugenzi pale taasisi ya Moyo JK kwa kuongea Scientific facts za COVID-19.

Taifa la kidikteta utengeneza watu wanafiki hasa wanufaika wa mfumo.
 
Back
Top Bottom