Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

Ni professional abuse kutafuta chanjo ya mafua.
tumeishi na mafua miaka na miaka hii ndio mara ya kwanza kusaka chanjo ya mafua
[emoji23][emoji23][emoji23] nigga pls. utter bullshit. walisoma ili iweje? hivyo veti wavikalie ndani au?

ni professional abuse? basi waache kutafuta dawa ya HIV,cancer, ukoma, neural disorders.. just because tumeish na hayo magonjwa miaka?

una hoja ya kijinga sana.
 
Utatengeneza Chanjo ngapi za mafua?
 
hilo swali haliniusu mm. waulize kamayi itakayoundwa au wataalam maana wao ndio wanajua magnitude ya tatizo
Sasa kama halikuhusu ulikuja kufanyaje kwenye mjadala wa Chanjo?
 
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli.
View attachment 1743510
Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.

Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .

Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

Nawachukulia kama wasaliti waliotumwa kupima upepo.

kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
@jingalao uko vyema kichwani ukiwa nnje ya CCM.
 
Elisha Osati na Kigwangala ni matatizo ya Madaktari Wafuatao upepo, wanafiki majinuni!
 
Back
Top Bottom