😷😷😷😷😷padri Gama habari ya siku tele
Update disc yako, la kama ni un able to update disposeTimsifu Yesu Kristu
Ila jamani siwez sahau Lissu hakuna hata na bango jamani....ila Mungu kumbe anaipenda sana sana Tanzania ..kwakweli tumtolee shukraniMwendazake pia alipiga marufuku mabango ya wenzie yasiwekwe au yashushwe na kuharibiwa. What goes around comes around
Laana?? Mkuu unaijua laana wewe🤣🤣Kuna watu wanatafuta laana na mpasuko kwenye jamii.
Wafanye mambo yao kwa utulivu sana.
Sio kutumia mi nguvu namna hii.
Hii ni kweli kuke nzega anakotoka hawamtaki kabisaKigwangala huu ndio msimu wake wa mwisho kwenye siasa anajaribu na yeye kuacha legacy. Kachelewa hatafanikiwa kama ana ajenda mbovu nyuma yake.
Good question. and maybe hilo swali litakuwa zuri kama tukijiuliza. kama nchi? tumefanya research yoyote ya kupata chanjo? tume conduct experiments zozote kujua kama chanjo ni valid?What evidence do we have that vaccine works on controlling the pandemic?
Mataga bhana!!!Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli.
View attachment 1743510
Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.
Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .
Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.
Nawachukulia kama wasaliti waliotumwa kupima upepo.
kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
Na uCCM wangu, Mungu akinijalia nikawa hai kipindi cha kampeni za uchaguzi 2025, nitajitolea kwenda Nzega kihakikisha Kigwangalla hapiti kwenye kura za maoni na akipitishwa na chama Dodoma, basi hashindi uchaguzi.Kigwangala huu ndio msimu wake wa mwisho kwenye siasa anajaribu na yeye kuacha legacy. Kachelewa hatafanikiwa kama ana ajenda mbovu nyuma yake.
Dah,,!! This life..!!???Hii video imenifikirisha sanaView attachment 1742612
Ni maombi yangu fikra za Jiwe zipotelee mbali kama yeye mwenyewe alivyopotea.Hatukuwa na raisi bali Farao/Herode/Nebuchadnezzar ndiye aliyetawala.Jamaa alikuwa na roho mbaya na katili Sana!Na uCCM wangu, Mungu akinijalia nikawa hai kipindi cha kampeni za uchaguzi 2025, nitajitolea kwenda Nzega kihakikisha Kigwangalla hapiti kwenye kura za maoni na akipitishwa na chama Dodoma, basi hashindi uchaguzi.
Ni professional abuse kutafuta chanjo ya mafua.Good question. and maybe hilo swali litakuwa zuri kama tukijiuliza. kama nchi? tumefanya research yoyote ya kupata chanjo? tume conduct experiments zozote kujua kama chanjo ni valid?
au tunasubiri Mzungu ahaangaike huko sisi ndio tuje tujadili kazi yake kama kawaida yetu? waataalam wetu wanasubiri nn?
Kunywa soda nakuja kulipa. Hata huyu mleta mada ni moja kati ya watu waliotokana na vijampo vya yule zimwiPanaldo, Chanjo za minyoo ,na utotoni , Dawa za malaria, arv , dawa za tb, na kadhalika zote izo ni dawa ambazo formula yake imegunduliwa na mabeberu ,
Mwenda zake alikuwa anapambana na mabeberu lakini hakuna mipango yoyote aliyoijenga ili kuhakikisha nchi inaanza kujitegemea , zaid amekandamiza wasomi na kuwatumia vijana aliowatoa ubongo. Ambao hawana hata maono ya kitaifa.
Sent using Jamii Forums mobile app