Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Mnaangalia mazao yenye pesa?😀😀😀 Mbona Mtwara, Lindi, Pwani na Tanga imefubaa hakuna hata maendeleo?
Korosho, minazi, mbaazi na karanga. Hayo ni mazao ya wavivu na wenye akili za umasikini na miji inayojikita kwenye hayo mazao huwa ni masikini.
Umepanda mikorosho mingi na minazi ili upate muda mwingi wa kunywa kahawa, kula kashata na kucheza bao huku umevalia msuli kama mwanamke ajuza😀😀😀
 
Uislamu unakuuma sana? Uislamu wa kilofa upoje?
Kuchapa watu mafimbo wanaokula mchana huo ndio uislamu wa kilofa
Dini yako na funga yako inanihusu nini mimi? Sisi tungekuwa wajinga kama nyinyi mngeteseka sana hapa bongo hadi huko nje maana sisi ni wengi kuliko nyinyi.
Zanzibar ikifika ramadhani hakuna watu kula, migahawa inafungwa (ni lazima), kubeba mafimbo kuchapa watu wanaokula au kupika na ligi ya Zanzibar inasimamishwa. Lini mtapata maendeleo?
Mnasimamisha ligi (mpira) ili ukale mihogo, maharagwe, ndizi, viazi, urojo na uji? Huu ndiyo uislamu wa kilofa😀😀😀😀😀
 
Kwahiyo dini mzuri ni kumuita Yesu ni Mungu?
 
Maendeleo gani ambayo kwenu yapo na huku kusini hakuna?
 
Kwahiyo dini mzuri ni kumuita Yesu ni Mungu?
Ndiyo shida ya kuwa na mtume ambaye hajui kusoma na kuandika.
Unajua Mudy anakesi ya ubakaji? Huwezi kuoa kabinti cha miaka 9 halafu tukuache mtaani, wewe ni mhalifu kama wahalifu wengine
 
Huwa nawashangaa sana watu wa bara sisi huku mtwara tunalima mazao maarufu nchini kuanzia korosho,mbaazi na ufuta sasa huwa nashangaa mno tunapoitwa sisi ni wavivu...au kipimo cha uvivu ni kutokuwa wachukuzi wa magunia kama wasukuma?
Mimi mtu wa bara ila nawashangaa wanavo waponda tena wamtwara.
Kidogo kidogo wataelewa maana nyie ndiyo wenye dola si wageni wa kufanya biashara wala makuli
 
Sasa hela mnapekeka wapi mbona kumepoaa,hakuna hata uwekezaji wa maana mnaowekeza huko iwe vyuo vikuu au hosoitali za maana
Wewe utakuwa mtoto mdogo, wakulima wa mapalachichi wamejenga chuo gani
 
vipi kahawa na ndizi kwa wahaya na wachagga, mgomba kuhudumia sio rahisi vile vile kahawa na mikorosho hakuna zao la uvivu wewe???ulimaji wa hayo mazao unatesa hujui tu.....sio sawa na kulima bustani au shamba la nyanya......

unaenyeka mwaka kulima, nenda Tabora ulime Tumbaku kama rahisi 😅😅😅

Usiwachukulie poa.
 
Uhaba wa Container tupu ndio unafanya wafanyabiashara walete Dar. Pia mashine za kisasa za kusafisha Ufuta wengi wamefunga Darlabd
Uhaba wa Container tupu ndio unafanya wafanyabiashara walete Dar. Pia mashine za kisasa za kusafisha Ufuta wengi wamefunga Dar
Labda kama wanaofia wakileta miundombinu na machine za kisasa kama za Dar port kwenye bandari ya Mtwara huenda bandari ya Dar es salaam itapoa na pengine mapato katika jiji la Dar yatapungua kwa kiasi fulani wakati huo lengo lao ni kuifanya Dar liwe jiji kubwa zaidi au kumaintain status yake. Hivyo wanakwepa hayo kutokea, kumbuka bandari ya Mtwara ndio bandari yenye kina kirefu zaidi Tanzania na Africa mashariki kama sijakosea.
 
Naomba mnaochangia hoja muchangie kwa stara, sikuleta hii mada kwa sababu za udini au ili kuleta marumbano kati ya watu wa pwani na wa bara. Ningependa kuona watu wakichangia hoja kwa kutoa fursa zilizopo katika eneo husika pia kushare nasi pamoja experience yake kuhusu mkoa wa mtwara bila ya maneno ya kejeli, ukipinga hoja pia pinga kwa ustaarabu.
 
Kuna vitoto vya bara wana uelewa mdogo wa mambo na wameshikiwa mawazo na handlers wao!
1. Kuhusu Korosho kuna Kiongozi wenu wa bara aliingia madarakani akakuta kuna Bil 300 za mauzo ya korosho hazina mwenyewe! Hakuamini macho yake, mwaka uliofuata akataka kununua yeye zao la korosho akaharibu mazima. ZAO NAMBA MOJA LA EXPORT TANZANIA NI KOROSHO! Wachagga na Wahaya walishaacha kulima Kahawa! Kilimo mnachojisifia ni cha zao gani?
2. Nimetembe a mikoa yote na Tanzania na Wilaya zake, hakuna mikoa backward kama ya bara, hawaogi wananuka kibeberu muda wote, hawapigi mswaki, shuka wanalalia na kutembea nazo. Hawajui KUPIKA!
3. Watu wa bara ili kustaarabika lazima waje Pwani. Mpaka leo USTAARABU wa kutahiri wanafanyiwa kampeni. Babu mtu mzima ana mkono wa sweta, Malaya wa Manzese ndio wanawapeleka kuwatahirisha!
4. Hizo dini na ushirikina, bara ndio kwao! Hata dini yao inaamini kwenye board ya miungu, mwenye watoto, anayekula na kunya! Sasa kama mtu mzima unaamini upuuzi huu umeelimika nini?
 
Ndiyo shida ya kuwa na mtume ambaye hajui kusoma na kuandika.
Unajua Mudy anakesi ya ubakaji? Huwezi kuoa kabinti cha miaka 9 halafu tukuache mtaani, wewe ni mhalifu kama wahalifu wengine
Mariamu alimzaa Yesu akiwa na miaka mingapi?
 
Hakuna hofu mkuu ni fikra zetu tu. Akitokea muwekezaji akafunga mashine za kuchekecha ufuta Mtwara na Lindi atakuwa anasaidia kuongeza thamani ya ufuta.

Ufuta unaokuja Dar kuuzwa unakuwa haujasafishwa bado(uncleaned sesame seed) na bei ya kununua inakuwa chini kidogo,pia wanunuzi huwa wanakubaliana na muuzaji au dalali kukata asilimia ya kilo kwa ajili ya uchafu na vumbi.

Machine zikiwepo huko Mtwara, ufuta utasafirishwa ukiwa msafi kwenda nje direct kupitia Mtwara port au utalewa Dar na mnunuzi yoyote atakuwa na uwezo wa kupeleka nje. Wanunuzi wadogo huwa wanaingia gharama kupeleka mashineni ufuta kusafishwa na kuingia gharama za mifuko,wabebaji na usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…