Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Wengine tunaingia wengine wanatoka, poa kinyama. Hio ni sawa na panda mti kata mti au zaa mtu ua mtu...swadaapta,
 
Tuna mitizamo tofauti, tunatamani kuwa sawa ila mitizamo inatutenganisha. Kwakuwa wapo tunaowakwaza lazma wapo watakotukwaza. Rudi Bebii.
 
Bebii hebu jifunze ku ignore mambo ambayo hayawezi hata kuondoa pumzi ya uhai wako mtoto mzuri ..
 
rest in peace Bebii,, daima tutakukumbuka pale itakapotulazimu...

She will sign in with new ID, or she will use the old one other than this.
Sorry, "just thinking loudly".
 
Wakaka wa jf tokezeni basi mumbembeleze bebii, yaan kutukanwa tu na jitu hulijui unababaika, utavumilia ndoa kweli wewe
 
bebiii ndo maana wanakuonea jina hilo wanakuona katoto hebu niambie nani kamfanya katoto katake kuondoka huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…