Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

Yani kila kukicha ni kurudia Yale yale hadi tumechoka na mipasho ya huyo magufuri.watu mnabana matako kwa nguvu kubwa kisa marehemu.huo mzimwi hautawaacha salama hakika..
Siyo kila mtu ni mramba miguu wa jiwe kama wewe
 
Hivi ni kweli jamaa alizimwaga hizo koroshow?
 
Hayati Magufuli alijua kuwanyoosha watu wote waliozoea mambo ya dezo dezo na kutegemea wajomba wa Ulaya.
 
Hata Mimi Nina amani Sana strictly speaking from the heart...kwanza nimekuwa na maendeleo makubwa Sana tofauti na mwendazake...mwenyezi mungu amjaalie atawale mpaka 2030 ameen
Mama anajitahidi ingawa kila mtu anamapungufu yake kama binadamu
 
Bei ya vitu imepanda maradufu na pesa haipo pili haina thamani
 
Watanzania sijui tutajikomboa lini kutoka kwenye janga la ujinga!.

Hivi kwaakili yako ilivyofupi kama siyo Rais JPM kumteua Samia kuwa mgombea mwenza, leo hii Samia angekuwa Rais?

Kabla ya kumsifu Samia hebu appreciate kwanza uthubutu wa JPM kumteua Samia kuwa mgombea mwenza!

In real sense Samia amekuwa Rais kwa kuwa kupitia mlango wa nyuma, I mean bila kuhustle.

Halafu anatutambia sisi eti ni rais wa kweli nchi yenyewe imeshamshinda kila kukicha bei za bidhaa zinapata, tozo ndo usiseme, maji, umeme wa mgao kila siku.

Miradi yote inasuasua tu.
 
Ugonjwa wa akili wa huyu bwana ulianza muda mrefu tu.
 
Wewe mleta mada kumbe ni chawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…