Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

Kwani huyo samia ni Mtanganyika?
Mtatumia nguvu nyingi sana kumnadi,na itabidi mjiibie kura ila kumuongezea jinsi msivyo kuwa na haya,maana watu wengi hawatahangaika na kupiga kura,nazani hui ukweli mnaujua
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Tanzaniaaaaaa!

Unajua kuwa Wazanzibari nao wanalalamika kuwa Rais wao Mwinyi, huyu wa sasa na rais Mwinyi baba yake, ni Watanganyika wa kitoka Mkuranga waliopandikizwa Zanzibar na Watanganyika kutoka Dodoma?
 
Mwashambwa anasemaje
 
Mkuu
Yaani unaniuliza mimi nataka nini?Mnafunga Tundu Lissu mzalendo unampa inchi mgeni tena mwanamke unaakili wewe
wewe ndo mgeni. Wewe ni Mhutu inakuhusuje nchi hii, hata unapata uthubutu wa kumwita mgreni? Tunakujua fika.
 
Sijachanganya damu yangu sijui na waarabu wa Omani mimi ni mgogo pure na nywele kipiripiri na kichogo changu original,sijui wewe unayejipachika utanganyika kwa maslai yako kama Rostaman
 
Hujui hata kuandika kiswahili unaonekana uko Oman
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Hata mwanaume wa Tanganyika ni Kafiri kwa hioyo hastahili kuwa Rais wa Zanzibar.
 
Hizo jamii zote ni wana vipenyo wao wanafurahia ili maisha ya familia zao yaneemeke.
 
NO ELECTION NO REFORM
 
Tanzaniaaaaaa!

Unajua kuwa Wazanzibari nao wanalalamika kuwa Rais wao Mwinyi, huyu wa sasa na rais Mwinyi baba yake, ni Watanganyika wa kitoka Mkuranga waliopandikizwa Zanzibar na Watanganyika kutoka Dodoma?
Acha hizo bana.Mbona Karume mwasisi wa Taifa la Zanzibar ni Mmalawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…