KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Huyo ropo ropo ana uzalendo gani zaid ya kusema mara MIGA?Yaani unaniuliza mimi nataka nini?Mnamfunga Tundu Lissu mzalendo unampa inchi mgeni tena mwanamke unaakili wewe
Bora Mhutu ni Mtanganyika kwa asili kwani aliyesimika mataifa ya Tanganyika,Burundi Na Rwanda ni Mjerumani hivyo Mhutu ana nafasi kubwa Tanganyika kuliko Mzanzibar ambaye asili yake ni Oman.Mkuu
wewe ndo mgeni. Wewe ni Mhutu inakuhusuje nchi hii, hata unapata uthubutu wa kumwita mgreni? Tunakujua fika.
NO REFORM NO ELECTIONHuyo ropo ropo ana uzalendo gani zaid ya kusema mara MIGA?
Ana uzalendo gani huyo ambaye amekimbiza watoto wake na mke wake(anataka watoto wa nani waumie)
ana uzalendo gani wakati hata wa jpm alionyesha kinyongo cha ****** kabisa, jpm anapgania maslahi mapana ya taifa yeye anaungana na barrick?
uzalendo gani wa kukinukisha ili watoto na akina mama waumie wakati wa kwake wapo ulaya?
huyo si kufungwa tu, "HUYO ANATAKIWA KUNYONGWA HADI AFE"
Na hilo nalo pia wanalilalamikia.Acha hizo bana.Mbona Karume mwasisi wa Taifa la Zanzibar ni Mmalawi?
Unapiga ramli kwa kuchanganyikiwa kwa ubaguzi katika nchi unayoloea. Hakuna mahala nimejipachika Utanganyika. Mimi ni Mtanzania. Wewe unayedai Ugogo kumbe ni Mhutu, vipi? Nchi hii ni ya Watanzania.Sijachanganya damu yangu sijui na waarabu wa Omani mimi ni mgogo pure na nywele kipiripiri na kichogo changu original,sijui wewe unayejipachika utanganyika kwa maslai yako kama Rostaman
Tutolee hapa uanaharakati uchwara wa nyuma ya keyboardBora Mhutu ni Mtanganyika kwa asili kwani aliyesimika mataifa ya Tanganyika,Burundi Na Rwanda ni Mjerumani hivyo Mhutu ana nafasi kubwa Tanganyika kuliko Mzanzibar ambaye asili yake ni Oman.
Wewe mwezangu unaonemkana uko Burundi. Ni kichekesho Mrundi anamwambia Mswahili eti hajui kuandika!! Kiswahili chenyewe umejifunza kwa wageni wa Kiswahili.Hujui hata kuandika kiswahili unaonekana uko Oman
Hiyo ni sawa mkuu. Kaa mkao wa kula.NO ELECTION NO REFORM
Wazee wa misamiatiNO REFORM NO ELECTION
Na Kikwete ni MzanzibarNa hilo nalo pia wanalilalamikia.
Na kuna Watanganyika wengine wanalalamika Nyerere ni Mrundi na Mkapa ni wa Msumbiji.
Ni kweli mkuu, ni bora Mrundi kuliko Mzanzibari!! Hii inaonesha kiwango chako cha ujinga (ignorance). Halafu munakuja jukwaani humu mukijitekenya na kusema Wazanzibari hawajasoma, wao ni madrasa tu! Hivi hiki ndo kiwango chako cha kusoma?!Bora Mhutu ni Mtanganyika kwa asili kwani aliyesimika mataifa ya Tanganyika,Burundi Na Rwanda ni Mjerumani hivyo Mhutu ana nafasi kubwa Tanganyika kuliko Mzanzibar ambaye asili yake ni Oman.
NO REFORM NO ELECTIONWazee wa misamiati
Baada ya oktoba 29, mnakuja na nini?
Kusoma siyo kuabudu watawala na kuiba rasilimali za Tanganyika huku Zanzibar ikilindwa kila kona na mafisadi.Ni kweli mkuu, ni bora Mrundi kuliko Mzanzibari!! Hii inaonesha kiwango chako cha ujinga (ignorance). Halafu munakuja jukwaani humu mukijitekenya na kusema Wazanzibari hawajasoma, wao ni madrasa tu! Hivi hiki ndo kiwango chako cha kusoma?!
Mzalendo ni Samia aliyebinafsisha kila kitu baada ya kufa MagufuliHuyo ropo ropo ana uzalendo gani zaid ya kusema mara MIGA?
Ana uzalendo gani huyo ambaye amekimbiza watoto wake na mke wake(anataka watoto wa nani waumie)
ana uzalendo gani wakati hata wa jpm alionyesha kinyongo cha ****** kabisa, jpm anapgania maslahi mapana ya taifa yeye anaungana na barrick?
uzalendo gani wa kukinukisha ili watoto na akina mama waumie wakati wa kwake wapo ulaya?
huyo si kufungwa tu, "HUYO ANATAKIWA KUNYONGWA HADI AFE"
Na ataendelea kuwa mzalendo na hamna la kufanyaMzalendo ni Samia aliyebinafsisha kila kitu baada ya kufa Magufuli
Wapi tumeabudu watawala? Bado unaendelea kuonesha kiwango chako cha ujinga. Hili la Zanzibar kulindwa ni jambo la Nyerere. Yeye ndiye aliyebuni huu muungano. Mlani yeye na tamaa zake za fisi. Nikuambie tu kwamba Wazanzibari wanayo haki sawa na Watanganyika linapokuja swala Tanzania. Ikiwa hamuridhiki huu ni wakati wenu wa kuuvunja huu muungano, jambo ambalo sisi wengine tunalisubiri kwa hamu.Kusoma siyo kuabudu watawala na kuiba rasilimali za Tanganyika huku Zanzibar ikilindwa kila kona na mafisadi.
Hili suala linafikirisha sana, watanganyika hakuna kwenye akili hata mmoja.Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana