Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

Nahisi kama rasilimali za Tanganyika ni kama shamba la bibi. Zinawanufaisha sana elites wa ccm. Na zaidi zaidi zinawanufaisha Wapemba na Waunguja!
WaTanganyika wao wametelekezwa pembeni wakisubiria fadhila za elites!
Ujinga katika uhalisia wake. Eti zinawanufaisha Wapemba na Waunguja! Kilio cha mamba. Ubaguzi na umbumumbu. Hawa watu wapo na wataendelea kuwepo muda ambao Tanzania, iliyoasisiwa na Nyerere, ipo. Vinginevyo muuvunje tugawane mbao. Mutasema sana kiunafiki. Sisi Wapemba huwa tunasema "mweemo haawa". Kazi kwenu.
 
Nahisi kama rasilimali za Tanganyika ni kama shamba la bibi. Zinawanufaisha sana elites wa ccm. Na zaidi zaidi zinawanufaisha Wapemba na Waunguja!
WaTanganyika wao wametelekezwa pembeni wakisubiria fadhila za elites!
Huku mtaani Wapemba wananunua majumba Kila siku na kujenga mafensi makubwamakubwa.
 
Huku mtaani Wapemba wananunua majumba Kila siku na kujenga mafensi makubwamakubwa.
Kikinuka vamia nyumba moja, ukiwahi inakuwa yako kama walivyofanya wazawa Zimbabwe wakati wananyang'anya mashamba na majumba kutoka kwa Wazungu walowezi.
 
Umejibu vema. Maneno ya kiume kabisa.
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Itikadi ya chama ni.... Chama kwanza mengine yatafuata!!!
 
Zanzibar walituzidi akili mapema. Angalia muungano ulivo. Unadhani huu ni muungano? Tunashea jina tu. Muungano unawabeba wazanzibar kunyonya Tanganyika. Sisi tumeua nchi yetu ya kwao ipo huoni kama walituzidi akili mapema? Wametushika pabaya wanatunyonya kwa akili kwa kutumia watanganyika wenzetu waliojaa ubinafis bila kuangalia mstakabali wa vizazi vijavyo.
 
Mtatumia nguvu nyingi sana kumnadi,na itabidi mjiibie kura ila kumuongezea jinsi msivyo kuwa na haya,maana watu wengi hawatahangaika na kupiga kura,nazani hui ukweli mnaujua
Kura zitapigwa na mshindi atapatikana.
Wanaume na wanawake wataenda kupiga kura .
Mwanaume unalalamika badala ya kichukua maamuzi?
Upuzi puuzi tu mwanaume unalalamika mitandaoni.
 
Yaani unaniuliza mimi nataka nini?Mnamfunga Tundu Lissu mzalendo unampa inchi mgeni tena mwanamke unaakili wewe
Kati ya Tundu lissu na Magufuli nani mzalendo?
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Siyo Urais hata udiwani tu wazanzibar hawezi kuruhusu nchi yao kuchezewa na mtu wa nchi ni sisi bara ndiyo wajinga haswa
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Kwa nini unasema ni viongozi wa CCM wamekubali badala ya kusema ni watanganyika? Tuna tatizo la kutaka watu wengine watatue matatizo yetu ndiyo maana tunakwama...
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
1. Kwamba huku bara hakuna Waislamu?
2. Je huko Zenji hakuna viongozi wanawake katika nafasi mbalimbali(uwaziri, wabunge, majaji n.k) kama wapo, basi hata hili linawezekana tu, mangapi yalikuwa hayafanyiki ila Sasa yanafanyika huko Zenji( vilevi, siasa n.k)

Ushauri: ni vema kukubali tu matokeo kwamba huyu tulikuwa naye na Bado tutakuwa naye mpaka 2030 panapo uzima.
 
Inawezekana wewe ndiyo hupangia maisha binadamu wenzako nani afe na nani azaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…