Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongeze awe mke wako wa piliIko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,
sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga
Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa chakula, anapika jikoni kila mtu anaona ila anaengda kula ndani kwake na mtoto wake mimi nikileta kitu cha kula nyumbani kinakuwa ni cha wote mpaka yeye huyu dada yangu amefuga ng'ombe wawili eti anataka mke wangu akachunge, nikazie kitu hapa, yaani mfano mkachinja kuku ikiwa ni zamu yake kupika, mtaletewa miguu kichwa shingo na mbawa.
Baba na mama hawasemi kitu kuhusu yeye japo wamemkanya mara kadhaa, nikawaambia wazazi wangu wachague moja, yeye ajipikie au mimi niwahame na narudi zangu mjini, mama alikubali dada ajipikie ila baba akamtetea kwa kumuomba aache hiyo tabia,
Hivo nikaona niwaache kuliko kukaa sehemu ambayo kila siku ni kesi ya chakula, mke wangu hakuwa na tatizo lolote kuhusu chakula ila yeye hatumii mlenda, hapo ndo dada yangu alipo mfanyia makusudi kwa kupika mlenda kila siku, japo nilijitahidi ndani dagaa zisikosekane na samaki kila wakati
Lakini sasa anatamani kuja mjini kunitembelea,
Umaskini mbaya sana.Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,
sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga
Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa chakula, anapika jikoni kila mtu anaona ila anaengda kula ndani kwake na mtoto wake mimi nikileta kitu cha kula nyumbani kinakuwa ni cha wote mpaka yeye huyu dada yangu amefuga ng'ombe wawili eti anataka mke wangu akachunge, nikazie kitu hapa, yaani mfano mkachinja kuku ikiwa ni zamu yake kupika, mtaletewa miguu kichwa shingo na mbawa.
Baba na mama hawasemi kitu kuhusu yeye japo wamemkanya mara kadhaa, nikawaambia wazazi wangu wachague moja, yeye ajipikie au mimi niwahame na narudi zangu mjini, mama alikubali dada ajipikie ila baba akamtetea kwa kumuomba aache hiyo tabia,
Hivo nikaona niwaache kuliko kukaa sehemu ambayo kila siku ni kesi ya chakula, mke wangu hakuwa na tatizo lolote kuhusu chakula ila yeye hatumii mlenda, hapo ndo dada yangu alipo mfanyia makusudi kwa kupika mlenda kila siku, japo nilijitahidi ndani dagaa zisikosekane na samaki kila wakati
Lakini sasa anatamani kuja mjini kunitembelea,
Mkuu umetuletea stori ya ulafi huku sterling ni dada yakk na wewe ni mhusika.Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,