Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

Mambo ya extended familia wanaweza waarabu na wahindi though humo ndani Kunawakaga moto pia.Watanzania Bado sana kuishi pamoja..Kila Mtu Aishi kwake
Na ndoa Yako km unataka idumu usimkaribishe huyo dada mjini
 
Weka number ya dada yako apewe miongozo...
 
Tatizo ni baba yenu, dada anapata kiburi kutoka kwa baba, yawezekana dada, wanae na madanga yake wanamrubuni mzee kurithi mali za familia.
 
Muongeze awe mke wako wa pili
 
Ukishaoa usiende kukaa kwenu. Kaa mbali nao uwe unaenda kuwatembelea.
Bora hata dada yako aliamua kukufukuza nyumbani kiaina maana mkeo angeona rangi zote.
 
Umaskini mbaya sana.
 
Mkuu umetuletea stori ya ulafi huku sterling ni dada yakk na wewe ni mhusika.

Punguza shobo
Punguza gubu

Ugovi wa jikoni usiulete JF🤣
 
Once my mama say to me.....usije ukamnyima mtu chakula,baada ya mda mchache kina geuka mavi,ila ukarimu na utu,hudumu hadi kizazi chako,kauli hii ipo bado kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…