Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Ukitaka kumuacha nitumie number yake utakuwa unakuja kumsalimu mtoto kila mwisho wa mwezi nimekuruhusu
 
Mwanangu sijakusoma kabisa ! Kwani hapo umekasikirika nn mzee? Wakati kipindi hicho hamkuwa pamoja.
 
Wewe nae umeshupaliaa mwenzio aachwe

Huyo kaka Kama alikuwa anakomalia aambiwe ukweli ulitegemea nini

Mtu kashampa na mimba aliona anafaa hizo past ni past tu ni afadhari mwanzo mbaya kuliko mwisho mbaya
Umesoma vizuri uzi yeye kasema ni binti shoot zake tuu ndo zimempeleke kusema
 
Alitakiwa kujuta moyoni mwake na awekeze akili na mapenzi yake yote kwa mume wake mtarajiwa.
Sio kila kitu kinawekwa wazi.
Angetubu na MUNGU WAKE PIA.
Ndo maana kunawasiwasi wenda kuna kitu anaficha binti awe makini.
Lisije likaja bomu kubwa. Baadae
 
Mwamba huyu hapa
 
Ukweli ni kwamba mwanamke ndiyo hupaswa kujilinda, na ndiyo maana familia nyingi zinahakikisha mtoto wa kike analindwa vyema, kamwe hawezi kuwa sawa na mwanamme.
Ungetafuta BIKRA bro, yani tafuta bikraaaaaa ndo hatakua na historia ya midinyo otherwise uwe single dady for life
 
Na hiki ndicho kinachonitesa, nawaza vingi mno akilini mwangu, mpaka nafikia hatua ya kuwaza kuwa jamaa amefaidi usichana wa mwanamke wangu kwa kipindi kirefu akimtumia vile atakavyo, kuliko mimi ambaye nimekaa naye mwaka mmoja kisha kupata ujauzito.
Una hoja usipuuzwe
 
Angetubu na MUNGU WAKE PIA.
Ndo maana kunawasiwasi wenda kuna kitu anaficha binti awe makini.
Lisije likaja bomu kubwa. Baadae
Ila wewe umeshikilia Bango hii inshu unataka huyo binti aachwe halafu wewe sijui unatafaidika vp
 
Kusema kweli nimesoma na kupata hasira hasa ulivyosema ulimsamehe kutomkuta bikra ihali hata wewe hujamuoa bado unazini na kumpa mimba juu afadhali ungekuwa mume wake....eti kumpa adhabu mtu mzima kisa mambo ya nyuma.

Nikaenda kusoma nyuzi zako za nyuma how perfect you are mpaka utake kumpa adhabu huyo dada mkuu wewe una machafu mengi tena ya kusikitisha. Je umemsimulia yako nae aamue kukupa adhabu au kukusamehe??

All in all man up wewe na mpenzi wako nadhani wanaume wenzio wameshakushauri humu ndani.
 
Thubutu kumuacha uone aisee hakuna langi hutoacha kuona ww ya kale si yananuka vijana wengine wapumbavu aisee
 
Mkuu nimekuelewa, that's why nikahitaji ushauri kwenu mnaoelewa changamoto za maisha ya ndoa.
 
Yaani umesema mwenyewe kwa muonekano wake wa nje anafaa kuwa mke.Kwa hiyo ulimpenda kwa nje, sasa anakwambia ya ndani unaanza kupaniki. Wewe endelea kumpenda nje ya ndani achana nayo, utaumiza kichwa au kuishia jela. Achana naye mapema kwa amani moyo wake huko kungine wewe kakuachia mwili. Inawezekana anaendelea na huyo wa bumu na kamwambia hiyo ni mimba yake.
 
Mke wangu usiku wa manane baada ya shoo tukawa tubapiga story za ma ex.
Akanambia enzi anasoma ametoka shule dom akiwa form 3. Anakuna home dar. Kufika stend ubungo ghafla akamuona ticha wake wa geograph. Ticha akampanga pale wakaenda kulala lodge mbagala.. hata home hakufika wanajua bado yuko shule... aiseeeee niliumiaaaa.. wiki tatu sili vizurii roho inaniuma kuhusu yule ticha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…