mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
We bhana wewe[emoji23]Ni kweli sikumkuta bikra ila nilimsamehe kimyakimya, kwani hata mimi nimekula sana.
Unapanik vitu ambavyo havina kichwa wala miguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bhana wewe[emoji23]Ni kweli sikumkuta bikra ila nilimsamehe kimyakimya, kwani hata mimi nimekula sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
Ukweli ni kwamba huyu hawezi kuishi na mke.Una gubu loooh[emoji706]
Hawezi kabisa,maana hili si jambo la kumnyima mwanaume usingizi,Ukweli ni kwamba huyu hawezi kuishi na mke.
Lakini ile njemba iliyokuwaga inaloweka utambi huko chuo wakikutana tu inamtafuna tena bila masharti yoyote!As long as hajazaa nae shida iko wapi?
Na hayo mapenz ya chuo ndo yakufanya umuache?? Otherwise utakua na lako jambo maana hata ww umeloweka Sana mashimo huko kabla ukutane nae
Halafu hawa viumbe walivyo wa ajabu hapo kakwambia siri moja ndogo tu kwanza akuone reaction yako then ana mengi mazito rohoni hawezi kukwambia kwa sasa!Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado nawaza aliwashwa nini hadi ayaseme hayo, jinga kweli.
Kikao kilishaamua kama bikra ilishaondoka na pikipiki basi yeye ndio wa pili na huyo wa kwanza hata hamkudumu saaaana. Na wala haujawahi penda kama unavyompenda yeye.
MmmmhhhWakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .
Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.
Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.
Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Wewe hujawahi kulala na mwanamke mwingine?. Shukuru mkeo kawa mkweriiMkuu huyu siyo single mother mimba ni yangu, koz nimeishi naye kwa zaidi ya mwaka sasa.
Inauma sana mkuu.Halafu hawa viumbe walivyo wa ajabu hapo kakwambia siri moja ndogo tu kwanza akuone reaction yako then ana mengi mazito rohoni hawezi kukwambia kwa sasa!
Unapokutana na binti sio bikra tena hao waliomaliza chuo huwa wengi wao walishatumika sana mpaka basi! Walishatoa mimba sana, walishaliwa tigo, wengi walipitia mpaka kujiuza huko vyuoni ili wapate hela, yaani sio ajabu akakwambia idadi ya waliompitia inafika hata wanaume 120+
Huyo manzi ni dhaifu, pili hawezi kuvumilia shida, siku jamaa akifulia hiyo manzi italiwa mchana kweupe, pili inaonekana anatengeneza defensive mechanism, inawezekana ilo alilomwambia ni dogo zaidi, jicho langu la tatu naona kama vile alikuwa anajiuza sasa nafsi inamsuta anataka kuconfess...kwa mustakabali wa maisha yako piga chini hiyo mbuzi tunza mwanao, asiposikia atakuja kukumbuka hii sms ya mzee kitombile, hilo ni bomb litamlipua, watu wanamshauri kimihemko tu sisi watu wakiroho, mabudha tunasema kama anakula ye ale tu lkn asioe, huyo demu anaishi na huyo jamaa kwa vile anamtatulia shida zake, na alizani akimwambia hivyo basi atazidi kuaminika kumbe ndo anaharibu, huyo mwanafunzi wake wa zamani anauwezekano akawa anaendelea kumpa mgegedo na jana katoka kuchakatwa....don't trust women in this world.Halafu hawa viumbe walivyo wa ajabu hapo kakwambia siri moja ndogo tu kwanza akuone reaction yako then ana mengi mazito rohoni hawezi kukwambia kwa sasa!
Unapokutana na binti sio bikra tena hao waliomaliza chuo huwa wengi wao walishatumika sana mpaka basi! Walishatoa mimba sana, walishaliwa tigo, wengi walipitia mpaka kujiuza huko vyuoni ili wapate hela, yaani sio ajabu akakwambia idadi ya waliompitia inafika hata wanaume 120+
Wakuu kwema,