Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Kwa mujibu wa stori yako, mlikutana na huyo Dada baada ya yeye kumaliza chuo, hupaswi kufanya maamuzi wala kuumia sababu hayo yalikuwa ni mambo yake ya nyuma.. Mlipokutana mlifungua ukurasa mpya wa mambo yenu. Play your part and Relax.
Nachojiuliza walianzaje hadi kuelezana mambo yaliyopita? Sitatoa judgement hadi nisikie na upande wa pili. Inawezekana jamaa ndio alitaka kuambiwa
 
sasa hapo tatizo ni nini ? Yaani story ya nyuma, inakutoa kwenye mlengo.. Bado hujapata ukomavu wa kutosha , jenga huo
 
Nachojiuliza walianzaje hadi kuelezana mambo yaliyopita? Sitatoa judgement hadi nisikie na upande wa pili. Inawezekana jamaa ndio alitaka kuambiwa
Hii inakujaga automatik,
Mfano niliwahi muuliza aliyekua mpenzi wangu kwa nini ameachana na x wake. Nia ilikua njema tu ili nami nisirudie makosa ya x wake akaniacha, Mdada akanijibu x wake alikua ana wivu sana. Nikashtuka nikasema hata mimi wivu ninao yaani nikikuona na njemba sitokuelewa. Mdada akaendelea kufunguka kua x wake alikua anamsulubu kwa pipe kila akihisi anamcheat. yaani jamaa akihisi tu dame anataka amcheat basi atamnywea mkongo, mkuyati, mpododo unakua ka mti mkavu afu shughuli moja tu. Kifupi jamaa alikua anambaka tuseme.
Daah mzee baba baada ya kusikia hayo nikanywea kidogo.
All in all kila mtu ana stori yake ila kwa hawa wenzetu hazifai kuzijua.
 
Hapo hata wewe uliyataka mwenyewe, kwanini usingeuliza tu ni vitu gani hapendi kutoka kwa mwanaume? Sema nini, kama huna malengo nae wala haiumizi kivyovyote, suala ni kama ulitaka kulipaki mazima. Maumivu ya hapo bora hata ufiwe
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Mkuu nakuunga mkono muache tuu,inauma bora angekaa kimya mimi tu ambae ni msomaj naumia hivi je wewe muhusika duuh piga chini itafute amani ya moyo
 
Hapo hata wewe uliyataka mwenyewe, kwanini usingeuliza tu ni vitu gani hapendi kutoka kwa mwanaume? Sema nini, kama huna malengo nae wala haiumizi kivyovyote, suala ni kama ulitaka kulipaki mazima. Maumivu ya hapo bora hata ufiwe
Maumivu makali mdau, ukiangalia mdada ni pisi la kwenda, alivyojibu hivyo tu sikua na nguvu ya kuuliza swali jingine zaidi ya ku imagine tu kua huyu hata marinda ukute kashatolewa kwa dizaini hii.
mzee baba nilimwacha yule manzi taratiibu.
 
Ulifanya la maana kumfyeka. Maana anasimulia upumbavu huku kajiachia as if anafurahisha
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Hizo hasira zako za kijinga sana aisee ww ulimkuta bikira
 
Matumizi yanakua zaidi ya kawaida, Yaani ni extra ordinary, utataka ujaribu kila kinachoongelewa ukijua unaacha alama, lazima atakuja kukukumbuka.
Na nikweli madame wengi wanapenda hayo mambo ambayo mke halali huwezi mfanyia. Mwisho wa siku uko naye kitandani unazagamua lakini anakuona kama fala tu, mawazo yake yote yako kwa njemba iliyokua inamchimba ki hardcore.
Na nikuibie siri mdau. ukiachana na bikra pia kuna mfupa huo dame wangu aliwahi niambia, ukiupindisha huo dame hawezi kukusahau kamwe.

Binafsi nilipenda nipate mwanamke ambaye hana historia mbaya, kutembea na mwanamme siyo tatizo kwangu, ila kuishi na mwanamme ndiyo tatizo , kwani katika kuishi na mwanamme ambaye hatamuoa kuna mengi hufanywa na mwanamme huyo, kama ni penzi atamfanya vile atakavyo, na mambo mengine mengi tu kama vile kufua nguo za jamaa ikiwa ni pamoja na boksa, kumuosha jamaa, kumpikia jamaa na kumnyenyekea kwa kila namna, yaani kero kero kero.
Okay, Kikubwa jiamini mkuu, swala kubwa ni kwamba kubaliana na hali kwamba umepata kile ulichokuwa hujatarajia, sababu mwanamke yeyote aliyewahi kuwa na Mahusiano before kuna mambo kama uliyoyataja hapo juu hayawezi kwepeka sababu ata kwako kuna mengine atakuwa anakufanyia kama kukufulia. Na huenda pia hayo unayoyawaza kichwani kwamba alikuwa anafanyiwa Ivyo si kweli ni vile akili yako umeijenga Ivyo..

Jiamini bro, Jambo lishatokea huwezi badilisha kitu, labda umwache huyo mwanamke.
 
Nachojiuliza walianzaje hadi kuelezana mambo yaliyopita? Sitatoa judgement hadi nisikie na upande wa pili. Inawezekana jamaa ndio alitaka kuambiwa
Kwenye Mahusiano issue kama izo za kutaka kujua background ya mwenzio huwa zipo, Ndiyo maana asilimia kubwa ya wengi wakiwa kwenye Mahusiano hawatakagi mambo ya kujua mengi sana kuhusu wapenzi wao wana baki kuplay part yao tu, kwa Maelezo ya jamaa inaonesha alikuwa anataka kufahamu mambo ya nyuma ya mwanamke wake, sasa kakutana na ilo swala likamkata mood ya kuendelea kuuliza mengine.
 
Kwakua aliyataka mwenyewe, aendelee kuuliza zaidi apate kuambiwa kuwa hata BACK DOOR ya demu wake iko open kitaaaambo
 
Utakuwa bado mtoto wewe. Sasa hayo ya chuo si yalishapita?? Nilifikiri ishu kubwa kumbe hilo tu!!
Ngoja uje umuoe mwingine alaf ugundue alikuwa changu kama hutokufa kabisa wewe.
 
Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
Duh! We jamaa una shida kichwani. Huyo mwanamke wako kapata hasara kubwa kuwa na wewe
 
Utakuwa bado mtoto wewe. Sasa hayo ya chuo si yalishapita?? Nilifikiri ishu kubwa kumbe hilo tu!!
Ngoja uje umuoe mwingine alaf ugundue alikuwa changu kama hutokufa kabisa wewe.
Nashangaa mwamba anaumia kinoma mambo ambayo yalishapita demu akiwa chuo.
 
Back
Top Bottom