rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Huyo malayaa aachane naeee kashaliwaa na tigo walahiiiIla ya mtungo na mafundi 3 ilikuwaje daaa, alilaximishwa au yeye mwenye.
Bro pole sana maana unapopitia ni shida hasa kisaikolojia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo malayaa aachane naeee kashaliwaa na tigo walahiiiIla ya mtungo na mafundi 3 ilikuwaje daaa, alilaximishwa au yeye mwenye.
Bro pole sana maana unapopitia ni shida hasa kisaikolojia.
Basi tuliza kichwa chakoNi kweli sikumkuta bikra ila nilimsamehe kimyakimya, kwani hata mimi nimekula sana.
Hongera mwamba, ni wachache wanaweza hivi-wengi tunaamua tu kuishi na mizoga yetu kiroho ngumu ngumu, maana mateso huenda kwa watoto zaidi. Cha muhimu ni kuwa Kila jambo lina mwisho wake.ssu
Sure mwanaume anatizama history ya mke anaemuoa thus why Mungu mwingi wa hekima aliweka bikra Kwa mwanamke na SIO mwanaume,,
Na mwanamke anaangalia future ya mwanaume ndipo anachagua kuish nae..thus why mwanaume ukitetereka kiuchumi mwanmke anakukimbia sabb ndio target yake... wakati mwanaume akijua history ya mke ni mbaya lazima ale Kona..case study mm mwenyewe
Niliona mke mwimba kwaya kabisa la T.A.G Hapa dar nikalipa mahar na kufunga ndoa na harusi ya kufa mtu... kuingia kwenye ndoa nakuta SIO bikra nikavumilia tu ijapokua upendo ulishuka.. mbele nikajua history yake ya nyuma daaah hapo tushazaaa watoto wawili ,, upendo ukaisha kabisa na ikageuka chuki kali na kutaka kulipa kisasi...nikaona nikiendelea nae maishan Zaid ya one day mtakuja kunisoma magazetini nimeua...!!!
Nikampa safar akasalim kwao..alivoenda tuu nikawatumia ujumbe ndugu zake woteeeee..mm na mwanao basiiii na sabb nikaziorozesha bila kuficha...karud kabwaga watoto nimewachukua nawalea kwetu...
Wengi walilaumu but kama ningeendelea kuish nae nazani ningefanya mbaya zaidi...sabb moyo wangu uligoma kupokea hyo situation..now am okay na maishan bila yy.
Brother kichaa huchekesha akiwa wa jirani, akitokea kwako ni maumivu makali sana.Pole sana kaka.
Hivi vitu watu wanachukuria poa sana.
Hasa kama mwanaume ulijitunza hasa unawez labda ulikutana na mabinti tena malaya tuu hawa wa kununua labda wawili tuu, na wala ukuwachezea wala nini.
Ila baadae unakuja kuoa binti ambaye ameishi na kidume zaidi ya mwaka yani kama mume na mke, utakuta hata mimba katoa.
Daa ukifikilia hivyo na wewe past yako haviendani kabisa.
Inauma sana.
Afu mtu anakuja anakwambia potezea tuu, sijui ni utoto sijui ni ujinga.
Baba hii yako imezidi ni hatari zaidi.yupo uko mahakaman sijui madawat ya usuluish anapambana..ninaitwa uko mara Kwa mara but moyon nishamfuta...
Wa kwangu ktk story ndipo alifunguka mwenyewe list ya jamaaa waliopita,,mimba alizitoa..kupigwa mtungo na mafundi watatu..na mwisho Kuna mme wa mtu alipita nyuma..yote haya niliyajua kipind yupo mjamzito anakaribia kujifungua asa anahofu wakisema ajifungue kwa operation na manesi wakiniambia sabb itakuaje..
Hvo akaamua kufunguka mwenyewe daaah..
Mkuu hyo hali inamtafuna sana jamaa ila ata ss wengne still wapenz wetu wamechakatwa sana kabl yetu. Mfn manz yang aliwahi sema alikuwa na msela kipnd hicho bado mbichi kabsa jamaa alikuwa mkubwa kwake yan alivyoanza kumla ilichukua kama week kuizoea mb**o ya jamaa daaah alinikata stim knoma, yan upendo ulishuka kama barafu iliyoyeyuka na hatimae akawa x wng. Decision niliyochukua natafuta dem ambae bado hajaliwa na wapo wengi trust me, tena hawa wanaomaliza advance wapo wa kutosha.😅🤣🤣🤣
Mwanangu we acha tuu haya mambo
Ndugu nahisi unachukulia poa hili suala kwa kuwa halikutokea kwako. Hebu kaa utafakari mara mbili utaelewa shida ilipo.Ko we kwa akili yako ulitaka iweje Sasa? au we ulidhani umekutana na malaika eti au ndo una viwu wa shule ya msingi, Iko hivi kubali kataa awe mwanamke au mwanaume ana ile past yake sema tu huyo dada kaamua awe muwazi kwako na ukumbuke njia zako siyo njia zake yeye
Na huko kigamboni ndo kwenye uchafu wa aina hii ya mabinti yaani hawawazi kesho kabisa.Viongoz WA dini..wao walimkaripia binti na kusema kweli amekosea but yamepita na yanatakiwa kusamehewa na kusahulika...hvi wanataka ndoa iendeleee..
Nilikubaliana nao but moyon sijaweza kulipokea bado..thus why sijamrudisha yupo uko Kwa dada ake kigambon anapambana na mamb ya ustawi wa jamiii na mabaraza ya usuluhishi ya mahakama..
Kaka njoo pmBaba hii yako imezidi ni hatari zaidi.
Mkuu mwanamke aliyelala na mwanaume miezi miezi sita iliyopita wala haiumizi akili kwa sisi wanaume.Wakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .
Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.
Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.
Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Mkuu ahsante kwa ushauri wakoMkuu.
Tatizo wewe ni mtoto mdogo.
Nisikilize, wanawake 97% kabla hawajatulia na kuolewa huwa wana siri nyingi, mboo nyingi zimepita na hutaambiwa.
Huyu wa kwako ni mke mzuri sana, amekuwa muwazi hataki hatia...unataka nini?
Haya yaliwahi kunikuta mimi mwanzoni kabisa kwa mpenzi wa kwanza, alinipa uwazi kidogo nizimie.
Baadae nilikuja kukutana na mrembo file lake lilikuwa zito kupita yule wa kwanza, ndipo nilpoanza kujifunza kuwa bora muwazi kuliko shankupe anajifanya mtakatifu.
Bro wangu ni afisa polisi kitengo cha udaktari.
Kupitia kazi yake alikutana na bikra mkali sana na bro wangu naye ni super handsome, kapo ikavutia sana.
Jamaa kaweka ndani kabisa na mtoto juu.
Bro alipata short course ya ushelisheli...
Wakati wa kurejea hakutoa taarifa...unajua nini?
Home hakumkuta mkewe bali yaya..
Siku hiyo kulikuwa na sherehe ya mtoto wa Malecela, ikabidi wenzie wamwambie waende kuhudhuria akirudi atamkuta mkewe karudi.
Kweli wakaenda, ....wakiwa ukumbini
Wenzie wakawa wanamtazama sana akajua labda kwa vile karudi kozi, kumbe mkewe yuno ukumbini na mtu mwingine yaani tangu aondoke mkewe anapelekewa moto.
Bro alipomuona mkewe alipigwa butwaa...unajua kilichoendelea?
Baadae bro aliamua kuoa singo parent mwenzake wana life nzuri sana.
Mwanamke ni hatari...lkn mwanamke mkweli kwangu ni bora sana kuliko mrembo nisiye na file lake
ndo amwambie mwenziee alipigwa mtungo?????Ko we kwa akili yako ulitaka iweje Sasa? au we ulidhani umekutana na malaika eti au ndo una viwu wa shule ya msingi, Iko hivi kubali kataa awe mwanamke au mwanaume ana ile past yake sema tu huyo dada kaamua awe muwazi kwako na ukumbuke njia zako siyo njia zake yeye
Kosa la mwenzio ni kukwambia ukweli? Wewe ndio unaenda kutengeneza Bomu litakalokutesa maisha yako yote. Ukithubutu kufanya huo ujinga aisee. Mi nilijua kafanya ukiwa naye kumbe ni zamani? utakua fala ukimwacha kwa kosa hiloWakuu kwema,