Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Mbona huyo binti hana kosa lolote? Binti amekua muwazi na mwaminifu kwako kwa kukueleza ukweli sasa hapo unaumia nini mkuu?

Mwanamke akikupenda hua anakua muwazi na kufunguka kuhusu maisha yake yote uyajue, sijaona kosa la huyo binti hadi sasa, unataka tu kumuonea.

Labda nikuulize, ulimkuta huyo binti bikra, kama hukumkuta unafikiri bikra ilijitoa yenyewe?

Wakati mwingine wanaume stress tunazitafta wenyewe. Mwanaume unawezaje kuboreka na hicho alichokwambia huyo binti?

Acha mambo ya ajabu tunza mke na mtoto mtarajiwa acha mawenge bwana mdogo.
........changamoto ya umri ya mdogo katika mahusiano, mtoa mada anadhani kila aliyepo chuoni anamsubiri yeye, dada kaongea ukweli was background yake imekuwa shida, na usikute jamaa kila siku anamwambia awe mkweli!!!, job true true......
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Ndio maana ya mwili mmoja. Dada anajilaumu ulikuwa wapi mwanzo. Unamridhisha ndio maana yu muwazi kwako. Umejua historia yake, alivyo sasa & mupange yajayo huku mkimtanguliza Mungu.
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Kuwa mtulivu, huenda huko kwenye circle yao kuna bomu limeripuka hivyo ameamua kujiwahi kabla haujakutana nalo mwenyewe
 
hio ndio point kuu,

kuhusi suala la binti kuchakatwa ni kawaida sana, mabinti wenye 17 hadi 24 wanachakatwa sana ila mazingira tofauti...
Unapofika hatua flani ya maisha, mambo yaliopita ni ya kupotezea kabisa. Sababu hata mleta mada ana mapungufu kibao ambayo huenda ni uovu kuliko hata huyo binti. Kila mtu ana mapito yake na hayo ndio mapito ya binti na ameyapitia akiwa hajui kama watakutana.

Nashauri apotezee wasonge mbele
 
Back
Top Bottom