Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja.Ladies,
Kama una 'ka siri kyako', hakikisha unaenda nako kaburini, hii kujifanya ni wema ili tuaminike huwa inakuja kutu-cost mno mno..!!
Me naamini hapo ulipo na wewe mtoa mada una 'ka siri kyako' hutamani mtu akajue sivyo..??
Mpaka hapo kosa la huyo dada ni kukuambia ukweli, sababu hakuyafanya hayo mkiwa pamoja, aliyafanya kabla hamjakutana, waweza usiendelee naye lakini kumpa adhabu..? Kwa kosa lipi..?? Acheni kujivika 'uungu-utu' ilhali ninyi wenyewe ni wakosefu vile vile..!!
Wewe huyo ni mwanamke wako wa kwanza? Kama sio Unaumia kwanini.Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwendraaaaaa!
Babe!! Yanazungumzika ujue🤣🤣🤣Nimesoma hadi hapa siendelei tena!!
Acha utoto mkuu. Huyo binti hakupaswa kukwambia yote hayo, ni upendo tu umemzidia.Wakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .
Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.
Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.
Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Mkuu nimekuelewa , japo naumia sana ,ni mwanamke ambaye ukweli nimempenda sana.Acha utoto mkuu. Huyo binti hakupaswa kukwambia yote hayo, ni upendo tu umemzidia.
Shukuru alikuwa alikuwa mtu mmoja kuliko wanaojiuza au wanaotembea na kila mtu chuoni. Acha kabisa kumyanyasa kisaikolojia. Be a man. Everyone has his/her history
Potezea as if hujui lolote. Rudisha uchangamfu wako wa siku zote na pia tafuta siku toka nae mpate dinner sehemu hata ugali nyama choma sehemu bar. Usirudie rudie hiyo topic tena.Mkuu nimekuelewa , japo naumia sana ,ni mwanamke ambaye ukweli nimempenda sana.
🤩🤩 Ila hili nalo neno. Sometimes nafikiria kuwa hakufanya sawa kumwambia jamaa kitu ambacho anajua kabisa lazima kitamuumizaHuyo dada ni fwalaaaa, alikuwa na sababu gani kukujulisha hayo yote.
Unaweza kujikuta mwema kumbe unaingia matatizoni.
Ni singo Maza ajayeMkuu huyu siyo single mother mimba ni yangu, koz nimeishi naye kwa zaidi ya mwaka sasa.
Acha utoto usifanye maamuzi una hasira alafu mambo ya kochokonoana ndio taabu zakeWakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .
Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.
Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.
Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Yaani bado mnamshauri😒😒😒Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
Mkuu kwani hapo kosa lake ni lipi? Kua mkweli au? Au umemchoka unamtafutia Tu sababu?Wakuu kwema,