Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

........changamoto ya umri ya mdogo katika mahusiano, mtoa mada anadhani kila aliyepo chuoni anamsubiri yeye, dada kaongea ukweli was background yake imekuwa shida, na usikute jamaa kila siku anamwambia awe mkweli!!!, job true true......
 
Ndio maana ya mwili mmoja. Dada anajilaumu ulikuwa wapi mwanzo. Unamridhisha ndio maana yu muwazi kwako. Umejua historia yake, alivyo sasa & mupange yajayo huku mkimtanguliza Mungu.
 
Kuwa mtulivu, huenda huko kwenye circle yao kuna bomu limeripuka hivyo ameamua kujiwahi kabla haujakutana nalo mwenyewe
 
hio ndio point kuu,

kuhusi suala la binti kuchakatwa ni kawaida sana, mabinti wenye 17 hadi 24 wanachakatwa sana ila mazingira tofauti...
Unapofika hatua flani ya maisha, mambo yaliopita ni ya kupotezea kabisa. Sababu hata mleta mada ana mapungufu kibao ambayo huenda ni uovu kuliko hata huyo binti. Kila mtu ana mapito yake na hayo ndio mapito ya binti na ameyapitia akiwa hajui kama watakutana.

Nashauri apotezee wasonge mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…