Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Naunga mkono hoja.
 
Acha utoto mkuu. Huyo binti hakupaswa kukwambia yote hayo, ni upendo tu umemzidia.

Shukuru alikuwa mtu mmoja kuliko wanaojiuza au wanaotembea na kila mtu chuoni. Acha kabisa kumyanyasa kisaikolojia. Be a man. Everyone has his/her history
 
Acha utoto mkuu. Huyo binti hakupaswa kukwambia yote hayo, ni upendo tu umemzidia.

Shukuru alikuwa alikuwa mtu mmoja kuliko wanaojiuza au wanaotembea na kila mtu chuoni. Acha kabisa kumyanyasa kisaikolojia. Be a man. Everyone has his/her history
Mkuu nimekuelewa , japo naumia sana ,ni mwanamke ambaye ukweli nimempenda sana.
 
Mkuu nimekuelewa , japo naumia sana ,ni mwanamke ambaye ukweli nimempenda sana.
Potezea as if hujui lolote. Rudisha uchangamfu wako wa siku zote na pia tafuta siku toka nae mpate dinner sehemu hata ugali nyama choma sehemu bar. Usirudie rudie hiyo topic tena.

Mkuu, Utampoteza mwanamke wa maana kwa hisia za ajabu ajabu tu. Huyo ka-confess coz kaamua kuanza maisha mapya.
 
Huyo dada ni fwalaaaa, alikuwa na sababu gani kukujulisha hayo yote.
Unaweza kujikuta mwema kumbe unaingia matatizoni.
🤩🤩 Ila hili nalo neno. Sometimes nafikiria kuwa hakufanya sawa kumwambia jamaa kitu ambacho anajua kabisa lazima kitamuumiza
 
Mweeee we kaka ni selfish balaaa hivi unajua binti amekuheshimu mno kua muwazi . Kuna manunda hayasemi na unakuta ana orodha ndefu wanajaa basi la mkoani [emoji23]
There is nothing as liberating as the truth , ukiwa mkweli kwa mwenzako unakua huru mno na hata lolote likitokea it doesn’t surprise you kwasababu unajua so you’ll handle it better!
And trust me ukimuonyesha hasira ama wivu wa kijinga that will be the last piece of truth you get from her Ila if you’re cool she’ll be free na atakua huru kukuambia mengi.
She is a good woman , keep her!
 
Acha utoto usifanye maamuzi una hasira alafu mambo ya kochokonoana ndio taabu zake
 
Mkuu kwani hapo kosa lake ni lipi? Kua mkweli au? Au umemchoka unamtafutia Tu sababu?
Nakusihi Tu usijaribu kumuacha shemeji labda kama ulikua humpendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…