Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Hatari.....mabinti nao ujue wanapenda sio mnataka kusema wanaume tuu ndio wana hizo fantasys
 
Kwanza kuna kitu unaficha-maana haingii akilini umkatae binti kwa sababu ya past.
Kwanza mlikuwa mnaongea nini mpaka akifika hatua hiyo ya kukueleza hivyo
 
We una shida na yeye ana shida

1. Amekwambia ili iweje wakati ni maisha yake yaliyo pita

2. Una mind nini wakati ni kipindi ambacho hukua nae, akifanya hayo nyakati za sasa mko wote hapo sawa, maisha yake ya zamani ya nini sasa ilihali na wewe ulikua na yako.

Mi naona wote mna akili za kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana wivu sana inaonekana. Huo kwake ungekuwa mtihani mgumu sana kudecide cha kufanya..

hapa mkuu nimepigwa BAN account yangu pendwa nina uchungu sana
Kumbe ndiyo wewe mabango yako yana nembo nyekundu ya mods, umefanya nini?
 
Ulimsamehe kwani alikuchiti? Yeye kakueleza historia yake ya,nyuma kabla hajakutana na wewe hapo kosa lake ni lipi.

Ukimuacha huyo mbele ya safari utajuta na utatamani ku.mrudia.
Acha kumtisha wewe.
Huyo binti tayari moyo wake ushapinda.
Mimi nimemwambia kuwa akijifungua aongee nae yote jinsi alivyojinsikia na moyo wake kupungua kwa upendo.
Kisha waamue nini wafanye, asikae nayo moyoni, kitamtesa balaa hio ishu.
 
wewe sasa ndiyo upewe ban kabisa maanake umeishupalia kweli kesi ya jamaa
 
Huyu jamaa hiyo kitu kitamtesa sana baade.
Trust me situation aliyokuwa nayo jamaa, ni mbaya sisi hatujui tunajifanya kutoa ushauri hapa. Ila saikologia yake ishaaribika.
Hapo ni GOD aingilie tuu. Sina uhakika kama atamfurahia dada huyo
 
Mi kuna binti nipo naye wa chuo yupo masters, nilipo mtokea tu akaniuliza kama nitawezena nae nikamuuliza kwa nini-akasema yeye ana mambo mengi bado hajamaliza ujana.
Nikamwambia hata Mimi nilikuwa kama wewe,na labda Mungu ananitumia Mimi kumalizoa hayo mambo yako mengi.

Niligundua yule binti hapendi mambo ya kufatiliwa na mwanaume anapenda Uhuru zaidi,nikacheza na akili take nikawa nafanya hivyo badaye alianza kufunguka mambo yake mengi sana ya nyuma ya mahusiano,ya afya yake na familia yake kwangu.

Ana matukio mengi na makubwa,but I didn't care coz ni past na kwa sasa nipo naye na nina mshape ninavyohitaji kidogo dogo kama tukiendelea vizuri hope tutafika mbali.
 
Hii comment inahitaji maelezo marefu sana.. hope ukipata time utashusha uzi ili tupate kujua mengi zaidi
 
Wewe huyo ni mwanamke wako wa kwanza? Kama sio Unaumia kwanini.
Wanaume ni wabinafsi sana muda mwingine sijui huwaga mkoje mfyuuuuu.
Madam ndo kukaa kama mume na mke daa, we image , wanaamka asubui wote, anapikiwa jamaa, anafuliwa nguo, anasafishiwa ghetto, anapikiwa mchana na jioni, usiku anapiga game afu anakojoa ndani, asubui afaua shuka.
Kwa miaka kadhaa daaa.
Mimi mwenye siwezi hata kama alifanya kipindi sipo nae.
Mimi mwenye sijawahi kulala na binti all night.
Hata binti kuja ghetto kwangu. Daaa.
Naelewa maumivu ya jamaa asichukulie poa.
 
Roho inamuuma kwa aliyotenda na nahisi alijua kuwa nitakuja jua tu.
Anavyoonekana anajutia kwa alichofanya bro.
Ila na wewe pia humo umoumo.
Akijifungua kaa uongee nae kaka, usikae nacho moyoni mkuu.
Akijifungua muongee afu muamue nini ufanye.
Usije ukateseka saikologia.
Ila na yeye pia, atajisikia vibaya.
 
Mkuu naona umejipigia picha ukaona ni jinsi gani jamaa lilivyokuwa linafaidi na huyo mtu wako huko chuo. Pole sana ila usipende sana kufukunyua mambo, hayo huwa hatuulizani, kwa vile kama ni kuwekwa kawekwa...
 
Wengi chuo ni kisanga yaani balaa wanaoa hawa mabinti wa chuo wanapata mitihani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…