Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari.....mabinti nao ujue wanapenda sio mnataka kusema wanaume tuu ndio wana hizo fantasysInagetemeana na mtu mimi hapana.
Mimi kipindi tupo chuo kuna wadada wawili walikuwa wanakaa na me kwenye ghetto,
Mmoja huyo jamaa alikuwa anasimulia anavyomnyandua kwa washikaji, alikuwa anasema kabisa kuwa anamaji mengi, sijui yupo hivi na vile.
Daaa
Na mwingine huyo , alikuwa anasema kuwa nikiwanae tendoni, najitahidi sana kumwaga nje.
Guys am tell you vijana wengi wanaoishi na mabinti vyuoni sio wastaarabu, wengi wapo hovyo sana.
Pia angalia marinda kama yapo bro ni muhimu.
Mtu akiishi na binti ambaye anajua hawezi kuwa nae baadae. Sexy fantasy zote zinaishia hapo.
Mzee wa kupambania mzabzab
We una shida na yeye ana shidaWakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .
Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.
Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.
Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Kumbe ndiyo wewe mabango yako yana nembo nyekundu ya mods, umefanya nini?Jamaa ana wivu sana inaonekana. Huo kwake ungekuwa mtihani mgumu sana kudecide cha kufanya..
hapa mkuu nimepigwa BAN account yangu pendwa nina uchungu sana
Acha kumtisha wewe.Ulimsamehe kwani alikuchiti? Yeye kakueleza historia yake ya,nyuma kabla hajakutana na wewe hapo kosa lake ni lipi.
Ukimuacha huyo mbele ya safari utajuta na utatamani ku.mrudia.
Kuna jamaa alijichanganya nikamuwashia TanuriKumbe ndiyo wewe mabango yako yana nembo nyekundu ya mods, umefanya nini?
wewe sasa ndiyo upewe ban kabisa maanake umeishupalia kweli kesi ya jamaaInagetemeana na mtu mimi hapana.
Mimi kipindi tupo chuo kuna wadada wawili walikuwa wanakaa na me kwenye ghetto,
Mmoja huyo jamaa alikuwa anasimulia anavyomnyandua kwa washikaji, alikuwa anasema kabisa kuwa anamaji mengi, sijui yupo hivi na vile.
Daaa
Na mwingine huyo , alikuwa anasema kuwa nikiwanae tendoni, najitahidi sana kumwaga nje.
Guys am tell you vijana wengi wanaoishi na mabinti vyuoni sio wastaarabu, wengi wapo hovyo sana.
Pia angalia marinda kama yapo bro ni muhimu.
Mtu akiishi na binti ambaye anajua hawezi kuwa nae baadae. Sexy fantasy zote zinaishia hapo.
Mzee wa kupambania mzabzab
Huyu jamaa hiyo kitu kitamtesa sana baade.Mkuu hapo inaonyesha dhahiri huyo dada anakupenda sana, tena heshimu sana uamuzi wa yeye kukueleza hayo. Kafanya jambo la msingi sana mimi naona, kakueleza hali halisi ili apate kuwa huru kabisa.
kwanini nasema hivi? Just imagine, angekausha tu halafu itokee siku moja huna hili wala lile halafu ukutane na hizo habari kwa mtu wa nje anaemjua binti kwamba kipindi anasoma alikuwa anaishi hostel bubu (kaolewa kichuochuo) ungejisikiaje?
kakueleza sababu she give up everything she did before, kaamua kuanza safari mpya na wewe, kaamua kuwa huru. Hata ikitokea kuna siku zikakupata habari kama hizo hautokuwa suprised sababu tayari unajua..
Mkuu, nakusihi tu mpende huyo dada. Anapenda kuwa huru ndio maana kakueleza. Ingekuja kuwa case kubwa sana kama ungeyajua haya kutoka kwa mtu wa pembeni, muda huo ushachelewa. Just cool down and go on with that innocent lady
usitukane, umepewa mapumziko ya siku ngapi?Kuna jamaa alijichanganya nikamuwashia Tanuri
Sio wote wapo wastarabu.Binti yupo honest ashukuru, mabinti karibu wote age 16 hadi 23 huwa wanachakatwa sana kwa mazingira tofauti.
Ni kawaida kabisa,
Saba, BAN ya pili hii. Sina mwezi tangu nipigwe ya kwanzausitukane, umepewa mapumziko ya siku ngapi?
Inawezekana kuna ishu kaogopa isije lipuka baadae , kuwa makini broKuwa mtulivu, huenda huko kwenye circle yao kuna bomu limeripuka hivyo ameamua kujiwahi kabla haujakutana nalo mwenyewe
Hii comment inahitaji maelezo marefu sana.. hope ukipata time utashusha uzi ili tupate kujua mengi zaidiMi kuna binti nipo naye wa chuo yupo masters, nilipo mtokea tu akaniuliza kama nitawezena nae nikamuuliza kwa nini-akasema yeye ana mambo mengi bado hajamaliza ujana.
Nikamwambia hata Mimi nilikuwa kama wewe,na labda Mungu ananitumia Mimi kumalizoa hayo mambo yako mengi.
Niligundua yule binti hapendi mambo ya kufatiliwa na mwanaume anapenda Uhuru zaidi,nikacheza na akili take nikawa nafanya hivyo badaye alianza kufunguka mambo yake mengi sana ya nyuma ya mahusiano,ya afya yake na familia yake kwangu.
Ana matukio mengi na makubwa,but I didn't care coz ni past na kwa sasa nipo naye na nina mshape ninavyohitaji kidogo dogo kama tukiendelea vizuri hope tutafika mbali.
Madam ndo kukaa kama mume na mke daa, we image , wanaamka asubui wote, anapikiwa jamaa, anafuliwa nguo, anasafishiwa ghetto, anapikiwa mchana na jioni, usiku anapiga game afu anakojoa ndani, asubui afaua shuka.Wewe huyo ni mwanamke wako wa kwanza? Kama sio Unaumia kwanini.
Wanaume ni wabinafsi sana muda mwingine sijui huwaga mkoje mfyuuuuu.
Anavyoonekana anajutia kwa alichofanya bro.Roho inamuuma kwa aliyotenda na nahisi alijua kuwa nitakuja jua tu.
Ndiyo kilichotokea na soon jamaa anaenda ku find out. Wanawake wana siri zao huwa hawazitoi hata iweje. Halafu leo hii huyo aanze tu kujielezea, kwa kujifanya anampenda sana!! Hapo tayari kuna msala tena, mkubwa tu.Inawezekana kuna ishu kaogopa isije lipuka baadae , kuwa makini bro