Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hahahaa hili ni kweli anatumika sana linakuwa chimbo lako la fantasiesPia angalia marinda kama yapo bro ni muhimu.
Mtu akiishi na binti ambaye anajua hawezi kuwa nae baadae. Sexy fantasy zote zinaishia hapo.
Mzee wa kupambania mzabzab
Mimi hapana mkuu, nilijitahidi sana kutotembea na wanawake wengi.Anavyoonekana anajutia kwa alichofanya bro.
Ila na wewe pia humo umoumo.
Akijifungua kaa uongee nae kaka, usikae nacho moyoni mkuu.
Akijifungua muongee afu muamue nini ufanye.
Usije ukateseka saikologia.
Ila na yeye pia, atajisikia vibaya.
Mkuu umeongea kitu Chenye logic sana.Inagetemeana na mtu mimi hapana.
Mimi kipindi tupo chuo kuna wadada wawili walikuwa wanakaa na me kwenye ghetto,
Mmoja huyo jamaa alikuwa anasimulia anavyomnyandua kwa washikaji, alikuwa anasema kabisa kuwa anamaji mengi, sijui yupo hivi na vile.
Daaa
Na mwingine huyo , alikuwa anasema kuwa nikiwanae tendoni, najitahidi sana kumwaga nje.
Guys am tell you vijana wengi wanaoishi na mabinti vyuoni sio wastaarabu, wengi wapo hovyo sana.
Pia angalia marinda kama yapo bro ni muhimu.
Mtu akiishi na binti ambaye anajua hawezi kuwa nae baadae. Sexy fantasy zote zinaishia hapo.
Mzee wa kupambania mzabzab
Kosa lake ni nini? Ulimkuta bikra?Wakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .
Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.
Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.
Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Mimi kipindi nipo chuo kuna dada mmoja alikuwa anakosa hata pesa ya kula , na halikuwa hafanyi hayo mambo ya kipuuzi. Mara nyingi alikuwa ananifuata kwa ustaarabu tuu mimi namsaidia mara kadhaa.Mweeee we kaka ni selfish balaaa hivi unajua binti amekuheshimu mno kua muwazi . Kuna manunda hayasemi na unakuta ana orodha ndefu wanajaa basi la mkoani [emoji23]
There is nothing as liberating as the truth , ukiwa mkweli kwa mwenzako unakua huru mno na hata lolote likitokea it doesn’t surprise you kwasababu unajua so you’ll handle it better!
And trust me ukimuonyesha hasira ama wivu wa kijinga that will be the last piece of truth you get from her Ila if you’re cool she’ll be free na atakua huru kukuambia mengi.
She is a good woman , keep her!
We jamaa bwana sasa kwani alifamya hivyo kabla ya kuwa naye ay baada kama kabla na hukumkuta bikra kubali tu usije stressWakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .
Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.
Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.
Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Kaka ni kweli nimedate na wanawake wengi, lakini kumbuka sisi tunazingatia historia ya mwanamke.Ni kweli lakini huyo demu n mkweli hapaswi kumzingua kabisa... Usikute hata yeye kashadeti na mademu kibao kabla ya kua nae sasa wivu wa nini? Labda kama angemkuta ni bikra
Amuulize kwa nini umeniambia hivyo ili mimi nifanye nini?Hapaswi kumuacha ingawa demu nae kazingua kumpa jamaa taarifa zisizo za lazima ambazo alijua moja kwa moja zitamuumiza jamaa
Ahsante kwa ushauri kaka.Daa yani bro , kwa kifupi kipindi yupo chuo alikuwa ni mke wa mtu ,
Daaa.
Mimi siwezi kabisa.
Mimi nakushauri akijifungua mwambie tuu ukweli jinsi ulivyojisikia, na kuhusu upendo wako kushuka kwake , usifiche ukakaa nayo moyoni.
Just tell her , yote mueleze mkuu.
Afu mwambie so tufanye nini, muamue cha kufanya.
Ukikaa kimya kaka na ukaamua kuoa , hio kitu kitakutesa balaaa bro tena sana.
Mimi naamini kuna kitu nyuma yake bro si rahisi, amemwambia ili iweje sasa, kuna something wenda anaficha usikute ata mimba ni ya mwamba ya chuo.Sahihi, kiufupi demu anampenda jamaa. Kinachotakiwa ni jamaa kutake easy atulie na mrembo. Kitendo cha kumwambia ukweli maana yake demu kaamua kujikabidhi akiwa msafi na roho yake kwa jamaa
Single mom si ndio wanajiita strong and independence women [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaangaika! Sema mmekutana wote watoto... endeleeni kuongeza singlemoms si mmeona ni sifa njema[emoji57]
Acha uhongowewe ni kavulanaa, ungekuwa mwanaume ungechukulia poa saana! kaa ukijua ukimuacha huyo kwasababu ya hizo stori za kale, basi jiandaae kuja kupambana na kitu kizito, kitakachosababisha, tuimbe FATHER BENAAAAARD
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Na wakikutana lazima wapashe kiporo kumbuka hao wameachana kwa sababu ya mazingira tu ya Kipato ila mioyo Yao inasemezana vinginevyoUkweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
Mimi nipondi nipo chuo kuna dada mmoja alikuwa anakosa hata pesa ya kula , na halikuwa hafanyi hayo mambo ya kipuuzi. Mara nyingi alikuwa ananifuata kwa ustaarabu tuu mimi namsaidia mara kadhaa.
Ni tabia ya mtu.
Sijajua huyo dada kwa nini kaamua kusema inawezekana kuna kitu nyuma yake.
Sio rahisi hivyo.
Ahsante kaka , kwa ushauri wakoPotezea as if hujui lolote. Rudisha uchangamfu wako wa siku zote na pia tafuta siku toka nae mpate dinner sehemu hata ugali nyama choma sehemu bar. Usirudie rudie hiyo topic tena.
Mkuu, Utampoteza mwanamke wa maana kwa hisia za ajabu ajabu tu. Huyo ka-confess coz kaamua kuanza maisha mapya.