Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Anavyoonekana anajutia kwa alichofanya bro.
Ila na wewe pia humo umoumo.
Akijifungua kaa uongee nae kaka, usikae nacho moyoni mkuu.
Akijifungua muongee afu muamue nini ufanye.
Usije ukateseka saikologia.
Ila na yeye pia, atajisikia vibaya.
Mimi hapana mkuu, nilijitahidi sana kutotembea na wanawake wengi.
 
Inagetemeana na mtu mimi hapana.

Mimi kipindi tupo chuo kuna wadada wawili walikuwa wanakaa na me kwenye ghetto,
Mmoja huyo jamaa alikuwa anasimulia anavyomnyandua kwa washikaji, alikuwa anasema kabisa kuwa anamaji mengi, sijui yupo hivi na vile.
Daaa
Na mwingine huyo , alikuwa anasema kuwa nikiwanae tendoni, najitahidi sana kumwaga nje.

Guys am tell you vijana wengi wanaoishi na mabinti vyuoni sio wastaarabu, wengi wapo hovyo sana.
Pia angalia marinda kama yapo bro ni muhimu.
Mtu akiishi na binti ambaye anajua hawezi kuwa nae baadae. Sexy fantasy zote zinaishia hapo.
Mzee wa kupambania mzabzab
Mkuu umeongea kitu Chenye logic sana.
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Kosa lake ni nini? Ulimkuta bikra?
 
Mweeee we kaka ni selfish balaaa hivi unajua binti amekuheshimu mno kua muwazi . Kuna manunda hayasemi na unakuta ana orodha ndefu wanajaa basi la mkoani [emoji23]
There is nothing as liberating as the truth , ukiwa mkweli kwa mwenzako unakua huru mno na hata lolote likitokea it doesn’t surprise you kwasababu unajua so you’ll handle it better!
And trust me ukimuonyesha hasira ama wivu wa kijinga that will be the last piece of truth you get from her Ila if you’re cool she’ll be free na atakua huru kukuambia mengi.
She is a good woman , keep her!
Mimi kipindi nipo chuo kuna dada mmoja alikuwa anakosa hata pesa ya kula , na halikuwa hafanyi hayo mambo ya kipuuzi. Mara nyingi alikuwa ananifuata kwa ustaarabu tuu mimi namsaidia mara kadhaa.
Ni tabia ya mtu.
Sijajua huyo dada kwa nini kaamua kusema inawezekana kuna kitu nyuma yake.
Sio rahisi hivyo.

WAPO MABINTI WENGI TUU CHUONI WANAKOSA HATA PESA YA STATIONARY ILA STILL WAPO FRESH KABISA MAMBO YA KIPUUZI HAWANA.
ISIJE AKAWA NA HISTORIA MBAYA DADA HUYO.
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
We jamaa bwana sasa kwani alifamya hivyo kabla ya kuwa naye ay baada kama kabla na hukumkuta bikra kubali tu usije stress
 
Ni kweli lakini huyo demu n mkweli hapaswi kumzingua kabisa... Usikute hata yeye kashadeti na mademu kibao kabla ya kua nae sasa wivu wa nini? Labda kama angemkuta ni bikra
Kaka ni kweli nimedate na wanawake wengi, lakini kumbuka sisi tunazingatia historia ya mwanamke.
 
Daa yani bro , kwa kifupi kipindi yupo chuo alikuwa ni mke wa mtu ,
Daaa.
Mimi siwezi kabisa.
Mimi nakushauri akijifungua mwambie tuu ukweli jinsi ulivyojisikia, na kuhusu upendo wako kushuka kwake , usifiche ukakaa nayo moyoni.
Just tell her , yote mueleze mkuu.
Afu mwambie so tufanye nini, muamue cha kufanya.
Ukikaa kimya kaka na ukaamua kuoa , hio kitu kitakutesa balaaa bro tena sana.
Ahsante kwa ushauri kaka.
 
Sahihi, kiufupi demu anampenda jamaa. Kinachotakiwa ni jamaa kutake easy atulie na mrembo. Kitendo cha kumwambia ukweli maana yake demu kaamua kujikabidhi akiwa msafi na roho yake kwa jamaa
Mimi naamini kuna kitu nyuma yake bro si rahisi, amemwambia ili iweje sasa, kuna something wenda anaficha usikute ata mimba ni ya mwamba ya chuo.
 
Unaangaika! Sema mmekutana wote watoto... endeleeni kuongeza singlemoms si mmeona ni sifa njema[emoji57]
Single mom si ndio wanajiita strong and independence women [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
Na wakikutana lazima wapashe kiporo kumbuka hao wameachana kwa sababu ya mazingira tu ya Kipato ila mioyo Yao inasemezana vinginevyo
 
Mimi nipondi nipo chuo kuna dada mmoja alikuwa anakosa hata pesa ya kula , na halikuwa hafanyi hayo mambo ya kipuuzi. Mara nyingi alikuwa ananifuata kwa ustaarabu tuu mimi namsaidia mara kadhaa.
Ni tabia ya mtu.
Sijajua huyo dada kwa nini kaamua kusema inawezekana kuna kitu nyuma yake.
Sio rahisi hivyo.

It’s up to her hakuna anaejua kwanini kasema ila kibinadamu linabaki kua jambo la kiungwana.
Sasa Kama ana motives zake atajiharibia mwenyewe ukizingatia mvulana wake hana kifua cha kuhimili ana wivu balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Potezea as if hujui lolote. Rudisha uchangamfu wako wa siku zote na pia tafuta siku toka nae mpate dinner sehemu hata ugali nyama choma sehemu bar. Usirudie rudie hiyo topic tena.

Mkuu, Utampoteza mwanamke wa maana kwa hisia za ajabu ajabu tu. Huyo ka-confess coz kaamua kuanza maisha mapya.
Ahsante kaka , kwa ushauri wako
 
Hilo la huyo dada mbona dogo sana

Mimi mke wangu nilienae aliwah nipa mastory ya nyuma mpaka nikamwambia kuwa ilitokea kaachana na mimi asije akamwambia mwanaume mwingine mastory kama hayo maana sizan kama kuna mwanaume mwenye moyo mgumu kama wangu

Baadhi ya mambo aliyowah kiyafanya:-
-aliwah kuwa msagaji tena wale wa kunyonyana mpaka vinyeo
-waliwahi kuwa wanalala kitanda kimoja mademu wawili na mwanaume mmoja aliekuwa anawatunza baada ya kutoroka kwao mkoani na kuingia mjini
-ameliwa sana na walimu wake wa seko
-aliwah kubakwa
-alivyomaliza darasa la saba akatolewa bikira na mume wa mtu mwenye umri wa baba ake na huyu jamaa mpaka alizaa nae alivyomaliza form 4
-alishawah kwenda kwa waganga kutafuta dawa za kupata wanaume wenye hela
-Yaan alikuwa na mambo mengi mengine nimeyasahau hapa

Dogo oa usimuache,mimi huyu mpaka leo ni mke wangu na ananipenda mno na ananiheshimu sana,pamoja na kuwa huwa namfanyia vituko lakin hajawah taka kunilipizia ingawaje anaweza kufanya lolote lakin katulia haswa
 
Back
Top Bottom