Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Aisee kaka, nina stress hapa lakini nimejikuta nacheka kama mjinga, Pole sana mkuu, wanawake wana akili za ajabu sana, wanafanya mambo bila kutathmini kesho.
 
Pole sana , naelewa situation yako kaka. Kwa uliitaji kwenda kwao kujitambulisha au ushaenda??

Kama ujaenda jipe muda kidogo uangalie itakuwa hayo maumivu kaka.
Nyumbani kwao sijaenda, ila kutokana na ujauzito imenipasa nitoe taarifa na kuanza kuandaa utaratibu wa wazee kwenda. Maake kimsingi wanatakiwa waende wazee siyo mimi.
 
Sasa...hayo mambo ya nyuma wewe yanakuumiza nini?.. mbona mnacomplicate mambo
 
Kabisa, ni lazima umjue mtu wako kabla hujaamua kuweka wazi mambo yako ya nguma, au labda bidada alikuwa na nia ya kuachwa. Doesn't make sense.
 
Ni kweli sikumkuta bikra ila nilimsamehe kimyakimya, kwani hata mimi nimekula sana.
Ulimsamehe kimya kimya kwali alikukosea kutokuwa bikra?? Je wewe umemuoa kwa ndoa hadi umsamehe kutokuwa bikra au mnazini tuu??

Na kinachokufanya urindime hasira ni yeye kuishi na mtu kabla hamjajuana seriously dude?? Labda kama unataka kupita hivi baada ya kumpa mimba ndio unamtafutia sababu.

Kumpa adhabu kama nani wewe?? Acha kujipa uMungu kujiona unamtawala simply because ni mpenzi wako na umempa mimba, eti adhabu ndogo khaaa aiseee. Mpe pole yake kwa aina ya mpenzi, baby dady aliyempata
 
Sababu uliyotoa ni ya bora ovyo kuwahi kutokea.

Haya kakate mgomba uuweke ndani sasa.
 
Mbususu sii unapewa
 
Mkuu huyu siyo single mother mimba ni yangu, koz nimeishi naye kwa zaidi ya mwaka sasa.
Sasa mbona kama unamuadhibu kwa kusema ukweli? ,Halafu ilikuwaje mpaka unafatilia mahusiano yake yaliyopita ?
 
Binti ni muwazi,
Ila hana akili,hakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kusema hayo,
Au kuna lingine kubwa kuliko,alitaka kukwambia akakwepesha story?
 
Me nikazani ata nyapu yake labda ime tanuka kumbe iko vile vile ,una nuna nini sasa mtu asi fanywe kwa raha zake
 
Sina historia nzuri kwa 100%, lakini kumbuka katika suala la kuoa sisi tunazingatia historia ya mwanamke.
Basi hutooa maisha yako yote, sidhani kama yupo mwenye historia nzuri 100% tena kama sio bikra ndo kabisaaa (na nyie historia za sisi kudinywa ndo zinawaumaga as if nyie hamjawahi)
 
Bado nawaza aliwashwa nini hadi ayaseme hayo, jinga kweli.

Kikao kilishaamua kama bikra ilishaondoka na pikipiki basi yeye ndio wa pili na huyo wa kwanza hata hamkudumu saaaana. Na wala haujawahi penda kama unavyompenda yeye.

[emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa

Ya mwisho nimeipenda hatujadumu tulikulana mara moja hata hivyo sijawah kupenda wewe ndio wa kwanza[emoji1787]

Hata niwe in love kiasi gani siwezi kumwambia new baby ukweli kuhusu ex wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…