Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Madam ndo kukaa kama mume na mke daa, we image , wanaamka asubui wote, anapikiwa jamaa, anafuliwa nguo, anasafishiwa ghetto, anapikiwa mchana na jioni, usiku anapiga game afu anakojoa ndani, asubui afaua shuka.
Kwa miaka kadhaa daaa.
Mimi mwenye siwezi hata kama alifanya kipindi sipo nae.
Mimi mwenye sijawahi kulala na binti all night.
Hata binti kuja ghetto kwangu. Daaa.
Naelewa maumivu ya jamaa asichukulie poa.
Watu wanaropoka tu hawaelewi jamaa anapitia maumivu kiasi Gani..mm nimeelewa
 
Ila wewe umeshikilia Bango hii inshu unataka huyo binti aachwe halafu wewe sijui unatafaidika vp
Ok mimi naamini wengi wenu mliopo humu kwenye huu uzi ni watu wazima.
Tena wale mliocheza sana.
Mimi sijajua kwa nini huyo binti kaamua kumwambia mambo hayo.
Hapo ndugu yetu ameshaathilika kisaikologia, kuhusu huyo Dada.
Trust akijilazimisha kuwa nae hio kitu kitamsumbua sana huyo jamaa, hapo alipofika anaitaji msaada.
Ndo maana mimi nimemwambia akijifungua huyo dada akaenae, waongee, kwa nini alimwambia hivyo??
Na yeye anavyojisikia baada ya kumwambia kisha waamue nini cha kufanya.
 
Mke wangu usiku wa manane baada ya shoo tukawa tubapiga story za ma ex.
Akanambia enzi anasoma ametoka shule dom akiwa form 3. Anakuna home dar. Kufika stend ubungo ghafla akamuona ticha wake wa geograph. Ticha akampanga pale wakaenda kulala lodge mbagala.. hata home hakufika wanajua bado yuko shule... aiseeeee niliumiaaaa.. wiki tatu sili vizurii roho inaniuma kuhusu yule ticha..
Mpaka leo mkuu unaumia mkuu?????
Mimi kabla sijaoa lazima nichunguze sana tena sana hata kutumia pesa.
Nisipopata chochote nitamwambia kuwa kama unapast yoyote mbovu jitahidi nisijue kabisa, maana nikijua nitapunguza upendo kwako milele, labda GOD aingilie kati.
 
Barieda siku ukikua utagundua hii Dunia siyo yetu na tunapita tu- sijaona kosa la kumuacha huyo mwanamke. Kuna wenzako wameambulia wanawake majangili haswaaa na hawana chembe ya majuto.
Huyo wako Bora nafsi inamsuta anajutia.
Kaeni mlee mtoto wenu.
Narudia kukuasa ,mkataa pema......
Mkuu nimekuelewa vyema.
 
ssu
Sina historia nzuri kwa 100%, lakini kumbuka katika suala la kuoa sisi tunazingatia historia ya mwamwanam

Sina historia nzuri kwa 100%, lakini kumbuka katika suala la kuoa sisi tunazingatia historia ya mwanamke.
Sure mwanaume anatizama history ya mke anaemuoa thus why Mungu mwingi wa hekima aliweka bikra Kwa mwanamke na SIO mwanaume,,

Na mwanamke anaangalia future ya mwanaume ndipo anachagua kuish nae..thus why mwanaume ukitetereka kiuchumi mwanmke anakukimbia sabb ndio target yake... wakati mwanaume akijua history ya mke ni mbaya lazima ale Kona..case study mm mwenyewe

Niliona mke mwimba kwaya kabisa la T.A.G Hapa dar nikalipa mahar na kufunga ndoa na harusi ya kufa mtu... kuingia kwenye ndoa nakuta SIO bikra nikavumilia tu ijapokua upendo ulishuka.. mbele nikajua history yake ya nyuma daaah hapo tushazaaa watoto wawili ,, upendo ukaisha kabisa na ikageuka chuki kali na kutaka kulipa kisasi...nikaona nikiendelea nae maishan Zaid ya one day mtakuja kunisoma magazetini nimeua...!!!

Nikampa safar akasalim kwao..alivoenda tuu nikawatumia ujumbe ndugu zake woteeeee..mm na mwanao basiiii na sabb nikaziorozesha bila kuficha...karud kabwaga watoto nimewachukua nawalea kwetu...

Wengi walilaumu but kama ningeendelea kuish nae nazani ningefanya mbaya zaidi...sabb moyo wangu uligoma kupokea hyo situation..now am okay na maishan bila yy.
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Mkuu ngoja nikupe experience yangu iliyonikita mimi.

Nilikutana nae kwenye kazi zetu za afya hizi.
Nilikaa nae kama mwaka na nusu kwenda miaka 2, siku moja katika kuongea maisha ya mda uliopita ambayo kila mmoja anajuta kufanya.

Yeye aliniambia kipindi anamaliza mtihani na kuondola shule hakwenda home alikutana na wanafuzi wa shule ya jirani ya boys ambao walizoeana,
Walikutana guest house na alifanya mapenzi na wanaume wawili mda mmoja alilalanao mpaka asubui.

Daaa mimi nilishituka kidogo tukio lile japo nilikaa kimya , yeye alinimbia anajuta mpaka leo kufanya vile.
Daaa niliumia sana tena sana. Nikawa napanga namna ya kumuacha kabisa. Ila nikajipa moyo mbona ni mtu mzuri tuu nikajifanya kupotezea .
Niliandelea nae mpaka mwaka jana mwezi wa 8 tulifunga ndoa.
Ila kisema ukweli ni ishu ambayo inanitesa sana mpaka leo. Sometime nikitana kusexy nae hisia zinakata kabisa. Sijamwambia lolote mpaka leo. Ila still naumia sana. Najaribu kusahau ila nashidwa.

Nilijaribu kuomba ushauri kwenye magroup ya ndoa , wengi waliniambia kuwa tangu awali ilitakiwa ufanye maamuzi kama utakuwa tayari au la.

Mimi nakushauri tuu kaa tulia kwa muda angalia moyo wako upoje hata kama umezaa nae ukishidwa move on na mwingine kaka.
 
Na hiki ndicho kinachonitesa, nawaza vingi mno akilini mwangu, mpaka nafikia hatua ya kuwaza kuwa jamaa amefaidi usichana wa mwanamke wangu kwa kipindi kirefu akimtumia vile atakavyo, kuliko mimi ambaye nimekaa naye mwaka mmoja kisha kupata ujauzito.
story Yako ni kama yangu..binafsi nilishindwa pokea hili pamoja na kuambiwa na viongoz WA dini wa Kila aina but nilishindwa kabisa kulipokea ktk moyo wangu..nikaamua potelea mbali ngoja tubreak out..
 
Mkuu ngoja nikupe experience yangu iliyonikita mimi.

Nilikutana nae kwenye kazi zetu za afya hizi.
Nilikaa nae kama mwaka na nusu kwenda miaka 2, siku moja katika kuongea maisha ya mda uliopita ambayo kila mmoja anajuta kufanya.

Yeye aliniambia kipindi anamaliza mtihani na kuondola shule hakwenda home alikutana na wanafuzi wa shule ya jirani ya boys ambao walizoeana,
Walikutana guest house na alifanya mapenzi na wanaume wawili mda mmoja alilalanao mpaka asubui.

Daaa mimi nilishituka kidogo tukio lile japo nilikaa kimya , yeye alinimbia anajuta mpaka leo kufanya vile.
Daaa niliumia sana tena sana. Nikawa napanga namna ya kumuacha kabisa. Ila nikajipa moyo mbona ni mtu mzuri tuu nikajifanya kupotezea .
Niliandelea nae mpaka mwaka jana mwezi wa 8 tulifunga ndoa.
Ila kisema ukweli ni ishu ambayo inanitesa sana mpaka leo. Sometime nikitana kusexy nae hisia zinakata kabisa. Sijamwambia lolote mpaka leo. Ila still naumia sana. Najaribu kusahau ila nashidwa.

Nilijaribu kuomba ushauri kwenye magroup ya ndoa , wengi waliniambia kuwa tangu awali ilitakiwa ufanye maamuzi kama utakuwa tayari au la.

Mimi nakushauri tuu kaa tulia kwa muda angalia moyo wako upoje hata kama umezaa nae ukishidwa move on na mwingine kaka.
Aiseeee
 
Kaka kilichokukuta wewe ndicho kinachonitesa mimi,
Mbo* haisimami wakati mwingine nikiingiwa na hilo suala.
 
ssu

Sure mwanaume anatizama history ya mke anaemuoa thus why Mungu mwingi wa hekima aliweka bikra Kwa mwanamke na SIO mwanaume,,

Na mwanamke anaangalia future ya mwanaume ndipo anachagua kuish nae..thus why mwanaume ukitetereka kiuchumi mwanmke anakukimbia sabb ndio target yake... wakati mwanaume akijua history ya mke ni mbaya lazima ale Kona..case study mm mwenyewe

Niliona mke mwimba kwaya kabisa la T.A.G Hapa dar nikalipa mahar na kufunga ndoa na harusi ya kufa mtu... kuingia kwenye ndoa nakuta SIO bikra nikavumilia tu ijapokua upendo ulishuka.. mbele nikajua history yake ya nyuma daaah hapo tushazaaa watoto wawili ,, upendo ukaisha kabisa na ikageuka chuki kali na kutaka kulipa kisasi...nikaona nikiendelea nae maishan Zaid ya one day mtakuja kunisoma magazetini nimeua...!!!

Nikampa safar akasalim kwao..alivoenda tuu nikawatumia ujumbe ndugu zake woteeeee..mm na mwanao basiiii na sabb nikaziorozesha bila kuficha...karud kabwaga watoto nimewachukua nawalea kwetu...

Wengi walilaumu but kama ningeendelea kuish nae nazani ningefanya mbaya zaidi...sabb moyo wangu uligoma kupokea hyo situation..now am okay na maishan bila yy.
Pole sana kaka.
Hivi vitu watu wanachukuria poa sana.
Hasa kama mwanaume ulijitunza hasa unawez labda ulikutana na mabinti tena malaya tuu hawa wa kununua labda wawili tuu, na wala ukuwachezea wala nini.

Ila baadae unakuja kuoa binti ambaye ameishi na kidume zaidi ya mwaka yani kama mume na mke, utakuta hata mimba katoa.
Daa ukifikilia hivyo na wewe past yako haviendani kabisa.
Inauma sana.
Afu mtu anakuja anakwambia potezea tuu, sijui ni utoto sijui ni ujinga.
 
story Yako ni kama yangu..binafsi nilishindwa pokea hili pamoja na kuambiwa na viongoz WA dini wa Kila aina but nilishindwa kabisa kulipokea ktk moyo wangu..nikaamua potelea mbali ngoja tubreak out..
Pole sana.
Mkeo huyo anahali gani kabisa??
Na alikuwa ni mtu gani kama utakuwa free kutujuza??
Au nayeye aliishi na mtu before wewe.
 
Pole sana kaka mpaka kufikia hatua hio ya kuachana daa, nayasikia maumivu yako kaka.
Haya mambo yanauma sana ,
Unakuta wewe ujawahi kufanya hivyo vitu.
Kama mimi hapa tangu nimezaliwa sijawahi kulala na binti wa mtu mpaka morning, hata kutongoza na kumvutia ghetto na kupiga, sijawahi wala.
Nikitongoza na mahusiano ya kawaida tuu na tunabreak, basi.
Inauma sana. Hii.
 
yupo uko mahakaman sijui madawat ya usuluish anapambana..ninaitwa uko mara Kwa mara but moyon nishamfuta...

Wa kwangu ktk story ndipo alifunguka mwenyewe list ya jamaaa waliopita,,mimba alizitoa..kupigwa mtungo na mafundi watatu..na mwisho Kuna mme wa mtu alipita nyuma..yote haya niliyajua kipind yupo mjamzito anakaribia kujifungua asa anahofu wakisema ajifungue kwa operation na manesi wakiniambia sabb itakuaje..

Hvo akaamua kufunguka mwenyewe daaah..
 
Acha tu mkuuu..hayat mamb yasikie tu
 
Kaka kilichokukuta wewe ndicho kinachonitesa mimi,
Mbo* haisimami wakati mwingine nikiingiwa na hilo suala.
Daaa inauma acha nikijiangalia mimi mpaka namaliaza chuo sijawahi sexy na binti yoyote yule wa mtu. Nilikuja kusexy first time na malaya tuu tena wakununua tuu basi nikaacha.
Naamini hata anaweza akawa na vitu vingi vya onvyo huko nyuma.
Naumia sana nigejua ningemuacha before.
 
story Yako ni kama yangu..binafsi nilishindwa pokea hili pamoja na kuambiwa na viongoz WA dini wa Kila aina but nilishindwa kabisa kulipokea ktk moyo wangu..nikaamua potelea mbali ngoja tubreak out..
Kaka viongozi wa dini walikuwa wansemaje ulivyowaambia daaa.
So sand.
 
yupo uko mahakaman sijui madawat ya usuluish anapambana..ninaitwa uko mara Kwa mara but moyon nishamfuta...

Wa kwangu ktk story ndipo alifunguka mwenyewe list ya jamaaa waliopita,,mimba alizitoa..kupigwa mtungo na mafundi watatu..na mwisho Kuna mme wa mtu alipita nyuma..yote haya niliyajua kipind yupo mjamzito anakaribia kujifungua asa anahofu wakisema ajifungue kwa operation na manesi wakiniambia sabb itakuaje..

Hvo akaamua kufunguka mwenyewe daaah..
Daaaaa, naona watu wanachukuria mepesi haya mambo
 
Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.
Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme)

Je wewe katika maisha yako ya nyuma ina maana hujawahi kuwa na wanawake?

Iweje mwenzako kukueleza habari ya ex wake, na changamoto aliyokutana nayo iwe nongwa!!

Ungetafuta mwanamke bikira kama una pigo hizo...
 
Back
Top Bottom