Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Kaka viongozi wa dini walikuwa wansemaje ulivyowaambia daaa.
So sand.
Viongoz WA dini..wao walimkaripia binti na kusema kweli amekosea but yamepita na yanatakiwa kusamehewa na kusahulika...hvi wanataka ndoa iendeleee..

Nilikubaliana nao but moyon sijaweza kulipokea bado..thus why sijamrudisha yupo uko Kwa dada ake kigambon anapambana na mamb ya ustawi wa jamiii na mabaraza ya usuluhishi ya mahakama..
 
Kumbe hamjaachana na kupeana taraka?
 
Viongoz WA dini..wao walimkaripia binti na kusema kweli amekosea but yamepita na yanatakiwa kusamehewa na kusahulika...hvi wanataka ndoa iendeleee..

Nilikubaliana nao but moyon sijaweza kulipokea bado..thus why sijamrudisha yupo uko Kwa dada ake kigambon anapambana na mamb ya ustawi wa jamiii na mabaraza ya usuluhishi ya mahakama..
Haya mambo hapo familia mzima washajua kuwa binti yao alifanya hivi.
Watu wa kanisani washajua kuwa huyu dada alishawahi fanya hivi.
Daaa sijajua ana hali gani huko huyo mkeo bro.
Pole sana.
 
yupo uko mahakaman sijui madawat ya usuluish anapambana..ninaitwa uko mara Kwa mara but moyon nishamfuta...

Wa kwangu ktk story ndipo alifunguka mwenyewe list ya jamaaa waliopita,,mimba alizitoa..kupigwa mtungo na mafundi watatu..na mwisho Kuna mme wa mtu alipita nyuma..yote haya niliyajua kipind yupo mjamzito anakaribia kujifungua asa anahofu wakisema ajifungue kwa operation na manesi wakiniambia sabb itakuaje..

Hvo akaamua kufunguka mwenyewe daaah..
Yani alisema hayo mambo mbele ya viongozi wa dini??
Mkuu na famila kwa ujumla?
 
kijana acha utoto, wewe hujakasirika unataka kukwepa majukumu !!!!
huyo dada amekupenda ndo maana kakwambia ukweli, na wew ukimuacha tutamchukua sisi, kama humtaki tena nitumie namba yake inbox nimlete yeye na mtoto,

maana nimemuona ana element za mapenz ya kweli
 
Haya mambo hapo familia mzima washajua kuwa binti yao alifanya hivi.
Watu wa kanisani washajua kuwa huyu dada alishawahi fanya hivi.
Daaa sijajua ana hali gani huko huyo mkeo bro.
Pole sana.
Sikuwaeleza straight kama navoandika hapa...but message waliipata nadhan walielewa namaanisha nn.
 
TTal
Kumbe hamjaachana na kupeana tatara
Talaka imeshindikana sabb amegoma kusain..na wasuluhishi na mabaraza yao wamesema hakuna sabb ya kuidhinisha talaka Kwa makosa ya nyuma...asa mm hapa naelezea namna navomchukulia moyoni mwangu...yaan hayupo kabisa na kwangu haruhusiwi kukanyaga..uzur watoto nishawapeleka mbali uko...
 
Daaaaa, naona watu wanachukuria mepesi haya mambo
Haya mamb sio mepesi kama watu wanavyochukulia,, muombe Mungu wako usijue ukweli...Kuna rafiki amenizulumu pesa nying kiasi ...nimeweza kusameh na nipo nae vizur tuuu Wala sikumbukagi ilo deni..but ili la mke daaahhh moyo unakataa kabisa sometimes najilazimisha kusahau ila ndio hvo Tena...
 
Ladies,
Kama una 'ka siri kyako', hakikisha unaenda nako kaburini, hii kujifanya ni wema ili tuaminike huwa inakuja kutu-cost mno mno..!!

Me naamini hapo ulipo na wewe mtoa mada una 'ka siri kyako' hutamani mtu akajue sivyo..??

Mpaka hapo kosa la huyo dada ni kukuambia ukweli, sababu hakuyafanya hayo mkiwa pamoja, aliyafanya kabla hamjakutana, waweza usiendelee naye lakini kumpa adhabu..? Kwa kosa lipi..?? Acheni kujivika 'uungu-utu' ilhali ninyi wenyewe ni wakosefu vile vile..!!
Naunga mkono hoja, Huyo Dada kakosea.

KUNA SIRI YA MTU MMOJA, ILA HAKUNA SIRI YA WATU WAWILI
 
yupo uko mahakaman sijui madawat ya usuluish anapambana..ninaitwa uko mara Kwa mara but moyon nishamfuta...

Wa kwangu ktk story ndipo alifunguka mwenyewe list ya jamaaa waliopita,,mimba alizitoa..kupigwa mtungo na mafundi watatu..na mwisho Kuna mme wa mtu alipita nyuma..yote haya niliyajua kipind yupo mjamzito anakaribia kujifungua asa anahofu wakisema ajifungue kwa operation na manesi wakiniambia sabb itakuaje..

Hvo akaamua kufunguka mwenyewe daaah..
Hapo ulikuwa na haki mkuu ya kumwacha sababu zako zina mashiko sana na pole mnooo. Sio kama mtoa mada
 
Mkuu huyu siyo single mother mimba ni yangu, koz nimeishi naye kwa zaidi ya mwaka sasa.
Mkuu.
Tatizo wewe ni mtoto mdogo.
Nisikilize, wanawake 97% kabla hawajatulia na kuolewa huwa wana siri nyingi, mboo nyingi zimepita na hutaambiwa.

Huyu wa kwako ni mke mzuri sana, amekuwa muwazi hataki hatia...unataka nini?

Haya yaliwahi kunikuta mimi mwanzoni kabisa kwa mpenzi wa kwanza, alinipa uwazi kidogo nizimie.

Baadae nilikuja kukutana na mrembo file lake lilikuwa zito kupita yule wa kwanza, ndipo nilpoanza kujifunza kuwa bora muwazi kuliko shankupe anajifanya mtakatifu.

Bro wangu ni afisa polisi kitengo cha udaktari.
Kupitia kazi yake alikutana na bikra mkali sana na bro wangu naye ni super handsome, kapo ikavutia sana.

Jamaa kaweka ndani kabisa na mtoto juu.

Bro alipata short course ya ushelisheli...
Wakati wa kurejea hakutoa taarifa...unajua nini?

Home hakumkuta mkewe bali yaya..

Siku hiyo kulikuwa na sherehe ya mtoto wa Malecela, ikabidi wenzie wamwambie waende kuhudhuria akirudi atamkuta mkewe karudi.

Kweli wakaenda, ....wakiwa ukumbini
Wenzie wakawa wanamtazama sana akajua labda kwa vile karudi kozi, kumbe mkewe yuno ukumbini na mtu mwingine yaani tangu aondoke mkewe anapelekewa moto.

Bro alipomuona mkewe alipigwa butwaa...unajua kilichoendelea?

Baadae bro aliamua kuoa singo parent mwenzake wana life nzuri sana.

Mwanamke ni hatari...lkn mwanamke mkweli kwangu ni bora sana kuliko mrembo nisiye na file lake
 
Ladies,
Kama una 'ka siri kyako', hakikisha unaenda nako kaburini, hii kujifanya ni wema ili tuaminike huwa inakuja kutu-cost mno mno..!!

Me naamini hapo ulipo na wewe mtoa mada una 'ka siri kyako' hutamani mtu akajue sivyo..??

Mpaka hapo kosa la huyo dada ni kukuambia ukweli, sababu hakuyafanya hayo mkiwa pamoja, aliyafanya kabla hamjakutana, waweza usiendelee naye lakini kumpa adhabu..? Kwa kosa lipi..?? Acheni kujivika 'uungu-utu' ilhali ninyi wenyewe ni wakosefu vile vile..!!
Maisha bana, msela anaweza kumtema Huyu binti kisa kamwambia ukweli Kisha akaenda kubeba kimeo akamjutia huyu baadae hata hivyo sijaona kosa la huyo dada mpaka kupelekea jamaa kukasilika.
 
TTal

Talaka imeshindikana sabb amegoma kusain..na wasuluhishi na mabaraza yao wamesema hakuna sabb ya kuidhinisha talaka Kwa makosa ya nyuma...asa mm hapa naelezea namna navomchukulia moyoni mwangu...yaan hayupo kabisa na kwangu haruhusiwi kukanyaga..uzur watoto nishawapeleka mbali uko...
Aaaa mimi kuna binamu yangu mmoja mkewe alipata talaka mahakamani ila yeye binamu yangu hakwenda kabisa mahakamani,
Na kosa lenyewe binaural yangu alimkuwa hamjali tuu yupo yeye na maisha yake kwa mda tuu.
Sio kufumaniwa ila nini.
 
Mkuu.
Tatizo wewe ni mtoto mdogo.
Nisikilize, wanawake 97% kabla hawajatulia na kuolewa huwa wana siri nyingi, mboo nyingi zimepita na hutaambiwa.

Huyu wa kwako ni mke mzuri sana, amekuwa muwazi hataki hatia...unataka nini?

Haya yaliwahi kunikuta mimi mwanzoni kabisa kwa mpenzi wa kwanza, alinipa uwazi kidogo nizimie.

Baadae nilikuja kukutana na mrembo file lake lilikuwa zito kupita yule wa kwanza, ndipo nilpoanza kujifunza kuwa bora muwazi kuliko shankupe anajifanya mtakatifu.

Bro wangu ni afisa polisi kitengo cha udaktari.
Kupitia kazi yake alikutana na bikra mkali sana na bro wangu naye ni super handsome, kapo ikavutia sana.

Jamaa kaweka ndani kabisa na mtoto juu.

Bro alipata short course ya ushelisheli...
Wakati wa kurejea hakutoa taarifa...unajua nini?

Home hakumkuta mkewe bali yaya..

Siku hiyo kulikuwa na sherehe ya mtoto wa Malecela, ikabidi wenzie wamwambie waende kuhudhuria akirudi atamkuta mkewe karudi.

Kweli wakaenda, ....wakiwa ukumbini
Wenzie wakawa wanamtazama sana akajua labda kwa vile karudi kozi, kumbe mkewe yuno ukumbini na mtu mwingine yaani tangu aondoke mkewe anapelekewa moto.

Bro alipomuona mkewe alipigwa butwaa...unajua kilichoendelea?

Baadae bro aliamua kuoa singo parent mwenzake wana life nzuri sana.

Mwanamke ni hatari...lkn mwanamke mkweli kwangu ni bora sana kuliko mrembo nisiye na file lake
Acha story za kutunga hapa kaka.
 
Back
Top Bottom