Mkuu huyu siyo single mother mimba ni yangu, koz nimeishi naye kwa zaidi ya mwaka sasa.
Mkuu.
Tatizo wewe ni mtoto mdogo.
Nisikilize, wanawake 97% kabla hawajatulia na kuolewa huwa wana siri nyingi, mboo nyingi zimepita na hutaambiwa.
Huyu wa kwako ni mke mzuri sana, amekuwa muwazi hataki hatia...unataka nini?
Haya yaliwahi kunikuta mimi mwanzoni kabisa kwa mpenzi wa kwanza, alinipa uwazi kidogo nizimie.
Baadae nilikuja kukutana na mrembo file lake lilikuwa zito kupita yule wa kwanza, ndipo nilpoanza kujifunza kuwa bora muwazi kuliko shankupe anajifanya mtakatifu.
Bro wangu ni afisa polisi kitengo cha udaktari.
Kupitia kazi yake alikutana na bikra mkali sana na bro wangu naye ni super handsome, kapo ikavutia sana.
Jamaa kaweka ndani kabisa na mtoto juu.
Bro alipata short course ya ushelisheli...
Wakati wa kurejea hakutoa taarifa...unajua nini?
Home hakumkuta mkewe bali yaya..
Siku hiyo kulikuwa na sherehe ya mtoto wa Malecela, ikabidi wenzie wamwambie waende kuhudhuria akirudi atamkuta mkewe karudi.
Kweli wakaenda, ....wakiwa ukumbini
Wenzie wakawa wanamtazama sana akajua labda kwa vile karudi kozi, kumbe mkewe yuno ukumbini na mtu mwingine yaani tangu aondoke mkewe anapelekewa moto.
Bro alipomuona mkewe alipigwa butwaa...unajua kilichoendelea?
Baadae bro aliamua kuoa singo parent mwenzake wana life nzuri sana.
Mwanamke ni hatari...lkn mwanamke mkweli kwangu ni bora sana kuliko mrembo nisiye na file lake