Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Talaka imeshindikana sabb amegoma kusain..na wasuluhishi na mabaraza yao wamesema hakuna sabb ya kuidhinisha talaka Kwa makosa ya nyuma
Ila sheria inasema wanandoa wasipokutana kimwili kwa muda wa miaka 2 ndoa inavunjwa.
Wewe ishu yako inamuda gani kaka??
 
TTal

Talaka imeshindikana sabb amegoma kusain..na wasuluhishi na mabaraza yao wamesema hakuna sabb ya kuidhinisha talaka Kwa makosa ya nyuma...asa mm hapa naelezea namna navomchukulia moyoni mwangu...yaan hayupo kabisa na kwangu haruhusiwi kukanyaga..uzur watoto nishawapeleka mbali uko...
Ila bro daa pole sana,
Hilo balaza la suluhisho waambie tuu, mimi nishamchukia kwa sasa sitaweza ishi nae tena nae kwa sasa.
Nikimuona nawez kumuua , sasa sitaki lawama baadae.
Wrangling watafanya nn kaka.
Hata hakimj mahakamank mwambie tuuu hivyo.
Mimi ningesema tuu.
 
Yani wanawake huwaga hawajuii tuu.. Ukiwa unapiga story za mapenzi yako ya zamanii epuka kusema ukweli woteeee yanii Kusema ushalalwa n wanaume 100.. sijui uliwahi Kuliwa tigooo maraa ulipigwaa mtungoo aisee Wanaume huwa inatukataa Mood kinomaa na hatuwezi kuyapokea hayo mambo kirahisiii. Ukiyasema juaa yatakucost tuu na mwanaume atakuwa anakuhukumu kwa hayo mambo hata ipite miaka 100 utaitwaa malayaaa like umefanya jana.

SIO KILA KITU CHA KUKIOONGEA MENGINE KUFA NAYO NI BORA ZAIDI.
 
Hivi si tulishakubaliana tusihadithiane kuhusu ma ex zetu?
 
Yani wanawake huwaga hawajuii tuu.. Ukiwa unapiga story za mapenzi yako ya zamanii epuka kusema ukweli woteeee yanii Kusema ushalalwa n wanaume 100.. sijui uliwahi Kuliwa tigooo maraa ulipigwaa mtungoo aisee Wanaume huwa inatukataa Mood kinomaa na hatuwezi kuyapokea hayo mambo kirahisiii. Ukiyasema juaa yatakucost tuu na mwanaume atakuwa anakuhukumu kwa hayo mambo hata ipite miaka 100 utaitwaa malayaaa like umefanya jana.

SIO KILA KITU CHA KUKIOONGEA MENGINE KUFA NAYO NI BORA ZAIDI.
Ndo hivyo bro, wanawake hawajui hii.
 
So sad bro hata mimi ningemchama tuu baada ya kujifungua kuwa mimi na yeye basi.
Kukaa na mwanaume kama mke na mume daa, tunawaza vingi sana sisi wanaume, imagine jamaa alikuwa anapikiwa, anafuliwa, jioni anapiga game, anakojoa ndani, na binti afua dhuka, daaa.
So sad. Afu wewe ulijitunza daaaa.
Mimi mpaka sasa sijawahi kulala na binti all night mpaka asubui.
Ila nikipata mtu mabaye amewahi fanya hivyo sitavumilia kabisa daaa.
Maamae nimecheka kinoma 😀😀😀😀
 
Ila huyu ni sawa na kuoa mke wa mtu. Yaani alikua kwa njemba pika pakua myaka miwili kiserikali ni mke halali wa hiyo njemba. Yaani hata familia Yao nikwamba wanaitambua hiyo njemba kinaga ubaga hata ukienda tembelea ukweni wanakulamba kisogo tu.
Yaani apo huyo demu wako hapindui akiombwa mzigo na hiyo njemba lazima atatoa tu.
By the way mwambie akuonyeshe kabisaa huyo mume mwenzako ili mfahamiane zaidi.
Kifupi wewe umeoa mke wa mtu.
 
Mkuu pole sana na ni kawaida KAMA HUTOJALI IKIWA MKE WAKO JINA lake limeanza na N na la ukoo (surname) Limeanza na S, njoo pm fasta tuyamalize
 
Mzee mwenzangu baada ya kufichwa ndio unaibuka eeeh!! Tena umeibuka na kuniozesha kabisa 🙆🙆🙆

Ama kweli akufukuzae hakwambii toka!
Anifiche nani, mie nafichika basi, mie ni kama dudukila lililodinda kwenye msuli..🤣

Umejifukuza mwenyewe mzee mwenzangu, mie mkulima nakataaje jembe sasa..😂🤣
 
Back
Top Bottom