Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
atuganileKama yapi hayo mkuu tofauti na hilo tuntufye.
Tumpale?
atupakisye
anganile
atupele
tulinagwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atuganileKama yapi hayo mkuu tofauti na hilo tuntufye.
Tumpale?
- Kissa - Huruma
- Gwakisa - Mwenye huruma
- Lugano - Upendo
- Gwalugano - .....malizia
- Tupeligwe - Tumepewa
- Asajile - Amenisaidia/amenibariki
- Andendekisye - Ametengeneza
Kwakifupi majina mengi ya kinyakyusa tukiyatazama katika kiswahil fasaha, sio majina (NOMINO) , mengi sana ni Vitendo (VITENZI) au VIVUMISHI.
Mfano hayo majina nimeyaweka hapo, ukitoa
- Kisa
- Lugano
Yaliobaki hapo ni Vitenzi na Vivumishi
Weka na maana dada ake lusajoatuganile
atupakisye
anganile
atupele
tulinagwe
Mpoki ni jina la kinyaki?Hayo ni ya ukoo. Yenye maana ni Yale ya mwanzo. Lusekelo,Nsaji,Lusako,Lusajo,Mpoki,Sekela. Hivyo
😂😂😂😂najua sasaWeka na maana dada ake lusajo
kihayaMpoki ni jina la kinyaki?
We wamjini kumbe😂😂😂😂najua sasa
ngoja baadae ntamuuliza mama ntakuekea
Hili jina nasikia ni jina halisi la 2pac, alivyoenda USA akafupisha kuwa 2pac🤣atupakisye
itakuaHili jina nasikia ni jina halisi la 2pac, alivyoenda USA akafupisha kuwa 2pac🤣
MpendwaKuna vocha hapa atayepatia maana ya
"Nkundwe"
anayependwaKuna vocha hapa atayepatia maana ya
"Nkundwe"
Nkund - We.Kuna vocha hapa atayepatia maana ya
"Nkundwe"
Panda kichaka 😂🤣🤣🤣🤣 kasaka-kichaka,fyuka-panda
🤣🤣🤣🤣🥴Panda kichaka 😂
Na tuyeye je? Maana si ajabu ni lakinyaki🤣🤣🤣🤣🥴
To yeye-penzi kwenda kwake yeye nimpendaeNa tuyeye je? Maana si ajabu ni lakinyaki
Ee bhana ee nifanye mpango nihamie mbeya sasa, kumbe mna majina mazuri sana.To yeye-penzi kwenda kwake yeye nimpendae
Unarithi nini au kurithishwa nini ..ndio nataka kujuaKilingo ni urithi, kurithishwa.