Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

Kooh..kooh..koh!Tununu and@Toyeye are the same at lenghtening the lips while articulating them.😎
IMG_20240207_113911.JPG
 
Wanyakyusa huwa nawakubali kwenye majina maana wao hata jina la mwanzo huwa wanatumia la asili 👏🏾👏🏾👏🏾
 
  • Kissa - Huruma
  • Gwakisa - Mwenye huruma
  • Lugano - Upendo
  • Gwalugano - .....malizia
  • Tupeligwe - Tumepewa
  • Asajile - Amenisaidia/amenibariki
  • Andendekisye - Ametengeneza

Kwakifupi majina mengi ya kinyakyusa tukiyatazama katika kiswahil fasaha, sio majina (NOMINO) , mengi sana ni Vitendo (VITENZI), VIELEZI au VIVUMISHI.

Mfano hayo majina nimeyaweka hapo, ukitoa

  • Kisa
  • Lugano

Yaliobaki hapo ni Vitenzi na Vivumishi
Hakika wee ni mwalimu wa kiswahili uko vzr mm hvyo vitenzi vilainishi sijui sijui kbsa na Nina phd
 
Back
Top Bottom