mkubwa
Member
- Jul 15, 2014
- 93
- 78
Mwambapa, mbapa ni nini ?🤣🤣🤣🤣 kasaka-kichaka,fyuka-panda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambapa, mbapa ni nini ?🤣🤣🤣🤣 kasaka-kichaka,fyuka-panda
NgoziMwambapa, mbapa ni nini ?
Thanks for tag☺️Mimi nataka kujua maana ya "kiringo" ktk mila na tamaduni za waafrika
Cc Bujibuji Simba Nyamaume To yeye
Kwa hiyo Mwambapa ni sawa na Mwangwembe?Ngozi
Ungenijibu nilicho uliza ila naona umepotezea..sio mbayaThanks for tag☺️
Kilingo maana yake shughuli ya urithiMimi nataka kujua maana ya "kiringo" ktk mila na tamaduni za waafrika
Cc Bujibuji Simba Nyamaume To yeye
Ni nickname tu yake....nadhani anaitwa Isa ivo kaunganisha kianzio cha kinyakyusa mwa na jina lake IsaMbona mna unyama mwingi sana, na mwaisa je?
Hapana sijapotezea,sitambui huenda ni lugha nyingine tuUngenijibu nilicho uliza ila naona umepotezea..sio mbaya
Hahahahaha ok nishapata jibu..usijariHapana sijapotezea,sitambui huenda ni lugha nyingine tu
Sijui ngwembe ni niniKwa hiyo Mwambapa ni sawa na Mwangwembe?
Ngozi wanaita ingwembeSijui ngwembe ni nini
Okay,mi najua imbapa ndiyo ngoziNgozi wanaita ingwembe
Basi vunga tu Nkamu usitoe siri za kambi 😂Nkamu tusiwape siri za kambi unyakyusani😂
Au wape siri NkamuBasi vunga tu Nkamu usitoe siri za kambi 😂
Ubunifu mzuriNi nickname tu yake....nadhani anaitwa Isa ivo kaunganisha kianzio cha kinyakyusa mwa na jina lake Isa
Atuganile -anatupendaatuganile
atupakisye
anganile
atupele
tulinagwe
Sijui mwee😩